Nduguz,
I believe mmeshasikia hii habari… ni msisitizo tu
Please be advised that, due to the World Economic Forum which is taking place in Dar this week, some roads will be closed or have limited access starting tomorrow Tuesday 4 through Friday 7th May, 2010.
Sijui hiyo foleni ittakuwaje jamani, maana…….
Kwa wale wa Tabata na Mbezi, kazi ipo.
Unless there are changes, below is what was communicated he DSM regional commissioner, Mh. William Lukuvi.
Mdau A. Mbije

Angalizo: Hapo Nelson Madela Road isomeke Sam Nujoma Road. Samahani kwa usumbufu.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2010

    Sasa, Hii itakuwa kazi kweli kweli, je tunaofanya kazi office zilizopo along Ali Hassani mwinyi itakuwaje?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2010

    hell no!!!!!,jamani hivi na nchi zingine huwa ni hivi?hii itakua zaidi ya mvua sasa,maana hivi vinjia vya alternative ni viulimi tutapitaje?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 03, 2010

    this is purely crazzzzy- tuangalie adhari katika uchumi wetu ambao tayari unasuasua? Vipi jamani tunaelekea wapi? Je kuna nchi kubwa ulimwenguni ambayo ingekubali kufungiwa barabara kuu kama hivi? tumechoka watz.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 03, 2010

    Naishauri serikali ikiandaa mikutano mikubwa kama huu ifanyike Arusha. Hapo Dar ni kuumiza watu zaidi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 03, 2010

    Huu ni upuuzi mtupu,last week shughuli za kiuchumi ziliporomoka,then u bring another economic crisis....argh!!!....Hivi guys have u ever asked yourself about all these nonsense comics...we had Sullivan summit what have we gain from that?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 03, 2010

    sasa nimekubali kuwa jiji halina miundombinu ya kutosha,kazi hiyo wadau.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 03, 2010

    Jamani tuwaonee huruma watoto wa shule, wagonjwa, na hao watakao kuwa wanakimbilia vyombo vya usafiri (airport, bandarini au Ubungo).

    Je wafanyeje wanapogundua njiani kwamba ama barabara imefungwa au imezibwa kutokana na uwingi wa magari yaliyohamia humo?

    Pamoja na usalama wa wageni, ni lazima tufikirie pia usalama wa wenyeji wenzetu wa jiji hili!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 03, 2010

    Nadhani sijaelewa vizuri, ina maana zinafungwa kabisa au itakuwa shida kupita? manake mi naona kama ni uvivu wa kufikiria, kwa hao wanakamati, kwa nini masaa yote ya mchanazifungwe?

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 03, 2010

    Yes......hapo ndio itakuwa Bongo tambarare haswa....!Yetu macho!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 03, 2010

    Sasa Old Bagamoyo tutafikaje wakati Alhasan imefungwa..? Au kukatisha barabara inaruhusiwa..? Kweli wiki hii kazi ipo kwa wakazi wa upande huo.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 03, 2010

    Huu ni UENDAWAZIMU. Mwisho wa siku tunapata NINI?

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 03, 2010

    Nikifanikiwa kupata nafasi ya kuihama Tanzania nitafurahi kuliko maelezo...ina jina la nchi, ila kwa vile nchi inatengenezwa na wananchi kupitia usimamizi wa viongozi, Tanzania iliishia kuwa nchi mikononi mwa Nyerere, baada ya hapo imekuwa ni kero tupu. Hovyo hovyo tu kila sehemu, ukienda maofisi ya serikali unakumbana na moods za walio katika mlolongo wa unaopaswa kuwaona, hata bar nako unapandikiziwa bili, ukienda airport usiombee ukaingia ndani maana utaloa jasho hadi karaha,treni ndio sahau kabisaaa, ukiwa barabarani unasingiziwa makosa na kuombwa rushwa, mahospitali ndio usiseme, wezi na matapeli nao wapo kila sehemu,etc. etc. Tunaambiwa kuna mikutano kila leo, tena mikubwa mikubwa, ila wasichosema ni kuwa tukae chonjo kwa usumbufu mkubwa wakati wao wakisomba mali. Mbona huwa hatpewi tathmini za hiyo mikutano e.g. 1 or 5 years etc. down the road? Yaani ukiishi Tanzania hadi uzeeni basi wewe ni zaidi ya komandoo. Nchi ni huru ila wananchi hatupo huru isipokuwa viongozi na watoto wao, kuna tatizo kubwa sana humu. Ukijisikia hubugudhiwi basi ujue tu kuwa huhitajiki au umesahaulika kwa wakati huo, na si kwamba kuna jitihada za dhati katika kukuweka huru. Ipo siku tu, maana tunazidi kuchoshwa.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 03, 2010

    hii sam nujoma inafungwa yote? au tugawane wao watumie lane ya upande mmoja na wengine watumie nyingine. mbona ni barabara pana sana? asa mtu wa makongo na UDSM wakitumia Ardhi road then wataunganishaje na morogoro road au ALi Hassani Mwinyi road. hii kamati ni wavivu wa kufikiri watupe information ya kutosha aaaaaaaaaaghhh

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 03, 2010

    real talk here now look wats happening here doesnt the goverment know that we have poor road infrastructure, the answer YES why then dont they build better roads or expand kila siku or tunafanya survey sijui contractor kila siku jamani same reasons dar people should just stop an say enough is enough poor governecy should stop now sio kila siku tu kukubali wanachosema strick people kama wazee wa E.A wats so hard wit that

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 03, 2010

    AIINGII KABISA AKILINI KUFUNGA BARABARA WAKATI KUNA CRISIS YA FOLENI DAR. NINAUHAKIKA HATA KAMA KUNA FAIDA WANATARAJIA KATIKA HUO MKUTANO UKIIANGALIA KITAIFA ITAFUTWA KABISA NA MAPATO YATAKAYOKOSEKANA KUTOKANA NA SHUGHULI NYINGINE KUKWAMA MATOKEO YAKE NI FAIDA ZERO AU HASARA KABISA! HIVI KWA NINI WASIZIGUEZE HIZO BARABARA KUWA ONE-WAY KWA MIDA HIYO BAADA YA KUZIFUNGA KABISA. NINA MAANA ONE-WAY IKIPITISHA WENYEJI NA WAGENI,IKIWA NA UDHIBITI ILI KUSIWE NA KUKWAMA KWA WAGENI.MFANO KUNAWEZA KUWA NA TRAFIKI POLISI KILA SEHEMU KWENYE HIYO BARABARA KUHAKIKISHA WATU WANAENDA MWENDO UNAOTAKIWA NA KUTOINGILIA MSAFARA WA WAGENI. KUFUNGA KABISA BARABARA .. WATU WATAINGIA SAA TANO MAOFISINI, MTANIAMBIA.. PIA KWA NINI SERIKALI ISIPELEKE MIKUTANO KAMA HII ARUSHA AMBAKO HAKUNA MSONGAMANO NA PIA KULE TUNAWEZA INGIZA PESA NYINGI ZAIDI KAMA WAKIENDA KUANGALIA WANYAMA SERENGETI. WAKATI MWINGINE HUWA HATUWAELEWI VIONGOZI WETU KWA KWELI!

    MZOZAJI

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 03, 2010

    Hivi Barabara ya Ali Hassan Mwinyi inaanzia wapi na kuishia wapi? Asubuhi inafungwa kwa masaa mawili na mchana inafungwa kwa masaa manne. Je kutoka Mlimani City kwenda Kempinski ukiwa na ving'ora inachukua muda wote huo? Na hizo lane 4 za Sam Nujoma watazitumia zote siku nzima? Kweli tuna uvivu wa kupanga!

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 03, 2010

    utaahira huu haufanyiki nchi zilizoendelea kwani huthamini watuwao kwanza

    you are just a cow
    nahao mabwanazao na wachina wanaotuibia rasilimali zetu ndo watu.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 03, 2010

    HAMUJUI KAMA NCHI IMEUZWAAAAAAA.???
    WAPITEEE WAO KUSIKUWE KUNA SISIMIZI NJIANI WAHISI DUNIA NIYAOOO....HAWAWEZI KUJUWA ATHARI YA UCHUMI MPAKA IWAUMIZE WAO...BONGO YA TAMBARARE YA WAROHOOOO...

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 03, 2010

    Nyie mnalalamika halafu mnaendelea kuchagua CCM, badilikeni !!! Bora sie tuchague viongozi wetu hapo Thursday wanaotujali kudadakeki, elimu bure, afya bure, hakuna foleni, pensheni uzeeni ipo, unahisi kuwa kuna viongozi wanaokujali na kodi inatumika ipasavyo. Uchaguzi unakuja October waelezeni CCM wakae kwenye mdahalo wa LIVE kama watakubali hao !!

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 04, 2010

    Hivi hebu fikiriene irony hapa ni kwamba ili nchi ihost hii Economic Forum ina shut down economy for a week!!! Where's the sense in that? Tufanyeni kazi usiku basi wiki hii!

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 04, 2010

    BARABARA YA MANDELA HUANZIA BANDARINI NA KUISHIA UBUNGO NA KAMWE HAIFIKI MLIMANI CITY, SIJUI ALIYEANDAA RATIBA HII INAZIJUA VIZURI BARABARA HUSIKA? MBONA NUJOMA HAIPO?

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 04, 2010

    pumbavu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...