Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Sakina Datoo, akisherekea siku ya kuzaliwa leo Mei 3, 2010 ambayo pia ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. Sakina, ambaye ni mwanaharakati mkongwe katika vita vya kupigania uhuru wa vyombo vya habari Tanzania, hivi sasa yuko London akitafuta nondozzzzz.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...