Mo Racka akipokea tuzo ya msanii mwenye mvuto
toka kwa mgeni rasmi Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin
Fide Ilanga akiwa na tuzo ya modo mwenye mvuto
wadau wa smiling faces wakipokea tuzo pia
Dina Marios (kulia) akiwa na tuzo ya kipindi bora
cha jamii cha Leo Tena, akiwa na Zamaradi Mketema (shoto)
Sylvia Sharry akihojiwa na mtangazaji wa Mlimani TV
muigizaji wa kike mwenye mvuto akihojiwa na Mlimani TV Jacquiline Walper
modo bora wa kiume Martin Kdinda akifurahia tuzo
Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin akiwa na
tuzo yake pamoja na Raqey Mohamed akiwa na tuzo ya mpiga picha bora
Khadija Mwanamboka akifurahi tuzo ya mbunifu mwenye upendo
Mwigizaji bora wa kiume Steve Kanumba akiwa beneti na Jacquiline Walper
Dina Marios (kulia) na tuzo yake akiwa na Zamaradi Mketema
Wadau wa Simu ya Mkononi na tuzo yao ya filamu bora
mratibu wa mnuso huo wa smiling faces red carpet ankal Kubaga (kati) akiwa na nyota waliopata tuzo. kulia ni mwigizaji wa Simu ya mkononi
Dj Choka (shoto) akiwa na wadau
















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 33 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2010

    Kwa mtazamo wangu, huyo mtangazaji wa Mlimani TV, ndie ingebidi apewe hizo tuzo zote walizopewa hao watu wa jinsia ya kike, kuhusiana na mvuto.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2010

    Bongo tunaiga utamaduni wa wazungu hadi inatia hasira! lol!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 03, 2010

    mbavu zang zinauma kwa huyo model mwenye mvuto fiderine iranga lol!! hizo tuzo kiboko hata mimi nitabuni yangu mbona hawakutoa tuzo kwa ankal?? libeneke lenye mvuto!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 03, 2010

    sorry ankal nimeona kumbe na wewe umepata tuzo hongera saaana picha ziligoma hii kitu computer ilikuwa na kwi kwi

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 03, 2010

    Good work

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 03, 2010

    Picha ya pili kutoka juu na ya nne naona hazikustahili kuwekwa hadharani, ukiziangalia utaelewa ni kwa nini nasema hivi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 03, 2010

    Picha ya nne kutoka chini pia haikufaa kuwekwa hadharani. Mtu huangalii mara mbili.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 03, 2010

    Nakweli, nguo zingine zinapaswa kwenda na miili ya kiafrika. Wakinadada waliovaa nguo za heshima wamependeza zaidi kuliko hawa walionenepeana na kuvaa nguo wanazovaa wakinadada wa size 2 hadi 6! Kutuonyesha makunyanzi yote ya mafuta kwenye mahips na wowowo walizobeba. Please acheni ulimbukeni na vaeni mavazi yanayoendana na size za miili yetu. Unaweza ukavaa nguo kuonyesha your curves without offending people! Dada Asia hembu wasaidie hawa kina dada, wewe unapendeza na mitindo yako.

    ReplyDelete
  9. Mhhh, kwa kweli Picha ya pili kutoka juu na ya nne na Picha ya nne kutoka chini Hazifai kabisa kuwekwa hadharani LOL, Vaa kutokana na mwili wako usipende watu waone minyama yako.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 03, 2010

    WABONGO KWA KUVAA PLASTIKI ZA CHINAA WANATISHAA YAANI HAPO MOTO UNGETOKEA WATU WANGEUNGUA KINOMA POA LAKINI MAISHA

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 03, 2010

    Dina mpenzi unajivunjia heshima yako bure na mavazi yasiyo na heshima! Nani alikudanganya kuwa unavutia ukivaa hivyo, mwili huo mama, jaribu kuusitiri, usijifananishe na wenye maumbo madogo, Chema chajiuza dada..........

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 03, 2010

    PALE HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI KUNA KITENGO CHA MARADHI YA UKIMWI, NILIDOKEZWA KUWA MRADI ULE UNAFADHILIWA NA SHIRIKA MOJA KUTOKA UGHAIBUNI.
    WAFANYAKAZI WA KITENGO KILE WANANONA SI MCHEZO, MISHAHARA NA MARUPURUPU ILE MBAYA YAKE.
    FEDHA NJE NJE.
    KWA NINI? MOJAWAPO YA SABABU NI HAYA TUNAYOYAONA HAPA KATIKA HII MUIITAYO SHEREHE YA KUTUNUKU VYETI, TENA ZIKO NYINGI MNO ZA AINA HIYO, AHSANTE SANA MHESHIMIWA MKUU WA WILAYA KWA KUTUPEPERUSHIA KILA ZINAPOFANYIKA.
    ONGEZEKO LA WAATHIRIKA NI KUBWA KIASI CHA KUTISHA NCHINI TZ.
    HII NI LAANA, NA MATOKEO YAKE KAMA HAYAJAANZA KUONEKANA BASI SI MUDA MREFU TUTAANZA KUYASHUHUDIA.
    WANAOLAANI YANAYOTOKEA KULE MANZESE UWANJA WA FISI KUWA ETI YANAPELEKEA KUENEA KWA UKIMWI, WAKO WAPI KUKEMEA NA HAYA?
    AU KWA KUWA HAYA YANAWASHIRIKISHA NA WAKUBWA PIA?
    NANI ATABISHA KUWA KAMA HAPA KUNA HARUFU BASI NI HARUFU YA NGONO ZEMBE NA MATOKEO YAKE NI KUENEA KWA UKIMWI?
    NI KWA KIWANGO GANI LAANA HII ITAENDELEA KUACHWA IKUE NA KUTEKETEZA KIZAZI CHETU MASKINI?
    HIVI NI KWA SABABU GANI HASA BINTI NA DADA ZETU WANASHAWISHIKA KUJISHAUA NA KUJIKASHIFU KADAMNASI NAMNA HII?
    KWA NINI KINADADA ZETU WAANGUKIE KATIKA TAMAA ZA NAMNA HII?
    KWA NINI MABABA MAZIMA, MENGINE NA MABINTI YAO, YASHINDWE NA SHETANI NA KURUHUSU KIZAZI CHAO KIADHIRIKE KIASI HIKI?
    HAWANA DESTURI, HAWANA MILA?
    HAWAMJUI MUNGU?
    BASI HUKU NI KUIGA GANI BILA HATA KUJIULIZA HATMA YAKE?
    ILA KWA BAHATI MBAYA KWETU, AMBAYO NDIYO FARAJA YA SHETANI, WATAJITOKEZA HUMU WATAKAOJIFANYA KUUNGA MKONO AIBU HII.
    ILA, KABLA YA KUFIKIRIA KUFANYA HIVYO, NAWAOMBA WAZIPITIE TAKWIMU ZA KUENEA KWA UKIMWI KATIKA TZ, KISHA WAJIULIZE SABABU YAKE.
    HII SI TU KWAMBA NI AIBU KWA TAIFA LENYE MAADILI KAMA TZ, LAKINI NI MAANGAMIZI YA TAIFA, NA KAMA BADO MENTALLY TUMELALA KWA SABABU ZA UCHU NA TAMAA ZA MIILI YETU, TUTAAMSHWA NA TEKETEO LA JAMII NZIMA SIKU MOJA.
    Mndengereko, Ukerewe

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 03, 2010

    Dina, inakera msichana kama wewe kujivalia vinguo visio na akili. Kumbuka, hakuna mwanamme anayependa msichana public (anayeonyesha mavituz bila kujijali)...unajifukuzia riziki mwaya. Haya, yetu macho.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 03, 2010

    Mwacheni Dina jamani. Kuna mwanamke wa kuolewa na wa starehe kama yeye. Kosa lake ni lipi?

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 04, 2010

    Hiyo picha ya mwisho vijana na kuiga suruali zao chini ya matako badala ya kiunoni wenzenu marekani sasa hivi wanapigiwa kelele na wanataka kutunga sheria wakivaa suruali chini ya matako wanalambwa tiketi.Kuna state moja marekani wameshapitisha ukivaa suruali chini ya matako unalambwa tiketi ya dola hamsini.Maana hamna uzuri wa mtindo acheni kuiga vitu visivyo na maana.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 06, 2010

    mh! nilipoanza kuangalia comment sikuelewa kwanini asilimia kubwa wame focus katika mavazi na baadhi yao wamemzungumzia Dina, inashangaza kweli sijui mtu unaanza vipi kutoka utokako na kivazi kama hicho. hebu angalia hiyo picha ulipokaa wewe na Zawadi. my sisy plz jaribu kwenda na upepo. unajiharibia zaid kuliko kujijengea. ni mtazamo wangu tu

    ReplyDelete
  17. get a life, leave her alone, she looks beautiful and u r jelousy, Tanzanians are so negative, u r boring to death

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 13, 2010

    mpaka dakika hii sijui kwa nini mamse dina. ni wivu au kuna kisa? kapendeza sana

    ReplyDelete
  19. there is more than its beta to mind ur buziness,mtu kavaa nn kala nn its not ur business,waase wanao na ndugu zako,lkn mtoto wa mwenzio si wako,This is the country is not ur House,and the laws re there,if dina,zamaradi and others hawajavaa vizuri kama angekua mwanao au mdogo wako ungekemea ila huyo ni mtangazaji and wangapi wameshawahi kumuona nje ya clouds radio.mtu humjui mnapayuka tu,life is hard angalia vya kwako vya walimwengu vitakuchanganya.

    ReplyDelete
  20. maisha ya mwanadam yametawaliwa na kujisitiri.ndio tofauti yetu na wanyama.BEHAVUNI BWANA WAKUBWA NYIE

    ReplyDelete
  21. jamani sijui urembo wayu wengine wanafikiri ni kupaka wanja na lipstik tu jamani fidelis iranga nae kha sijui huko majaji wanajaji vipi i gues hata basi vipimo vya majaji na uangalizi wao vyatofautiana.mhhhhh kaaazi kweli kweli.

    ReplyDelete
  22. Ila iyo nguo uliyovaa dina cyo,bt da rest wako na shoo nzima imesimama.

    ReplyDelete
  23. wanawake mnakosa maarifa kwa kufikiri mkivaa nguo fupi ndo mnapendeza,DINA unajivunjia heshima kwa hicho kijiguo ulichovaa na sijui nani kakwambia huwa unapendeza TRY TO BEHAVE

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 03, 2011

    kweli mavazi ndio yanayomuonyesha m2 kwamba ana tabia gani yawezekana una tabia nzuri lkini mavazi uliovaa yakakuaribia hivyo ni bora tu kuvaa mavazi ya kieshima ili kuepusha maneno

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 27, 2011

    hivi hawa wanaomsema Dina wanajua maana ya oufits au?do you thnk u will find her in a street mchana hivo..kuweni na utu na swaga hilo ni vazi la nyt jamani aagh mnaudhi kusema watu,focus guys this is 2011 sio enzi za 18TH CENTURY..HATERS big pole

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 14, 2011

    Kuna tofauti kati ya sheria na maadili (Law and Ethics), sheria ina provide punishment for any act which is prohibited under penal statute, Maadili ni namna ambayo watu wa jamii flani wanavyoishi, kwa maoni yangu hakuna sheria inayomkataza mtu kuvaa anavyopenda hata akitembea mtupu ila maadili yanakataza hakuna adhabu yoyote itolewayo pamoja na kukataza hapa ndipo baadhi ya watu hasa kina Dada wanapata mwanya wa kuvaa mavazi ambayo yanadhalilisha utu wao ukiangalia sheria za kiislamu zimeweka wazi kipengele cha mavazi. Maadili mara nyingi yanaongozwa na jamii husika mfano kuna kipindi akina Dada wanaovaa mavazi mafupi walikuwa wanachaniwa mavazi yao hasa maeneo ya kariakoo hapa jamii ilichukuwa nafasi, kina Mama mnaopenda kuvaa mavazi yanayoacha sehemu kubwa za miili yenu wazi acheni mara moja mnachangia kwa kiasi kikubwa kueneza Ukimwi. Nadhani badala ya kufanya kampeni ya watu kwenda kupima virusi vya Ukimwi ebu tujaribu kufanya Kampeni kwa hawa akina Mama wanaovaa nusu uchi.

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 17, 2011

    Hongereni sana,

    Ni muhimu sana kuwapongeza wasanii wetu waliofanya vizuri na hata wale ambao wanafanya vizuri katika fani mbalimbali kupongezwa. Ila cha msingi wasanii wetu wapewe kipa umbele katika mapambano ambayo taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali, kama vile vita dhidi ya UMASIKINI, UKIMWI na UFISADI.

    Hongereni sana ndg zangu.

    ReplyDelete
  28. AnonymousJuly 19, 2011

    WATANZANIA 2NAPOTEA JAMANI?? MWANAMKE SHARTI UJIHESHIMU NA C KUJIZALILISHA KIAC HICHO, 2NAPOTEZA MADILI YA KITANZANIA THEN BOYZ BV UR SELF NANI ATAMFUNZA MWENZAKE?????

    ReplyDelete
  29. hata kama life ya mtu sio biznes yangu, mstukalie uchi..uko sio kwenda na wakati bali upuuzi.

    ReplyDelete
  30. Ebana wabongo acheni kuchonga bana si tuko karne ya 21 kwa hiyo hata mavazi ni ya karne hii mwacheni mdada wa watu mbona katoka poa acheni ushamba bana.

    ReplyDelete
  31. MH KWAKWELI KAMA KIOO CHA JAMII DADA DINA SOMETIME KWENYE KIPINDI CHAKO UNAWANYALI WANAOKIUKA MAADILI KUMBE KIBANZI UNACHO HEHEEIYA TRULY HUJAPENDEZA KWA SHEPU YAKO KUNA MAGAUNI MAZUUURI YANAYOKUFAA

    ReplyDelete
  32. dah bibie hata kama ndo udhungu hapo 2 mach usiwe kama limbukeni uliyetoka kijijini sitimbi unafigure mbovu den unaionyesha! vp upo unatangaza biashara nn?

    ReplyDelete
  33. Mlitumwa mumuangalie kumbe mnapenda eeeee umejuaje inabana kama hujakodolea.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...