


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kuna Miss ....Tanzania and so and so a lot in Tanzania especially Dar. What is going on down there? Hivi ni uzuri au imekuwa biashara? Unashindwa kujua Mrembo hasa wa Tanzania ni yupi? Maana kila kona kuna Miss something. Naona kuna Miss Kata, Miss Tarafa, Miss Wilaya, Miss Mkoa, Miss Mji, Mis Capital Dodoma etc...Please paraents Just wondering I think it is too much hata maana ya urembo inapungua. Anyway they are all beautifull!
ReplyDelete".....nawaangazia warembo kama uncle Hashim Lundenga...."
ReplyDeletesijui ni vipi huyu alishinda, walimuangalia tabasamu lake lakini?
ReplyDeleteHii imekuwa bishara nzuri sana tanzania, mimi naona soon kutakuwepo mashnidano ya miss porn star hapa nyumbani. mind my words, sio mbali, ni karibu tu.
ReplyDeletehawa wanamuziki vipi mbona pichani wanaonekana afya mgogoro?au ndiyo style za vumbi maana hapa hatu zungumzii unene bali muonekano wa lishe ktk ngozi!! jipendeni jamani hata kuvaa vizuri pia nimuhimu.
ReplyDeletehii inanitahadharisha sasa kwamba inabidi kurudi tz kidogo angalau nizoee sura za wabantu wenzangu,maana vinginevyo mtasema najifanya,kusema kweli hapo mimi sijaona mrembo,ila wote ni wazuri .
ReplyDeletehii ndiyo taabu ya kukaa uzunguni muda mrefu,ukizoea sura za kizungu za kikwetu zinakupa butwaa kiasi kuchambua mrembo nani kati yao.
Naungana na Anon. wa Fri May 28, 05:48:00 AM, it's just too much kwa kweli. Punde si punde tutaongezewa list kwenye menu i.e. "Miss Kula Kidogo", "Miss Movies", "Miss Nyagi/Nguvu", "Miss Chips Kuku", "Miss Kudesa", "Miss Roho Nzuri", "Miss Kusali", "Miss Miss/Single", "Miss Mkemwenza", "Miss Mke wa Celebrity", "Miss Wawaaa" etc.
ReplyDeleteBy the way, hivi yule dada muigizaji aliyekuwa akiitwa Nina yuko wapi siku hizi????
SWALI: Kuhusu huyo dada jaji wa pili kushoto, amevaa kitu kingine kweli mwilini mwake mbali na hiyo hereni moja na hicho kidude mkono mmoja? Hiyo picha imechomekewa (graphics) au ni kweli alikuwepo hivyo hivyo?
ReplyDeleteanko michu,ningependa kuuliza wadau,hivi huyo dada wa 2 kutoka kulia picha ya mwisho kabisa amevaa nguo?ameleta gumzo kubwa sana hapa kitaa...
ReplyDeletena pia tunaomba warembo watumie majina yao ya asili sio catherine john,christina joseph tafadhali kutokuweka jina asili si ushamba wala haikupunguzi
ReplyDeletepointi katika ushindani