



Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aisee Singida iko juu kwa sasa. The most improved team this year!! SINGIDA OYEEEEE!
ReplyDeleteTanzania tuwe wazalendo tusiwekama kuu au wanyama pori. Hii biashara ya kushabikia timu za Manchester au Ulaya na kuwa wanachama kwa bei kubwa inatudumaza kimichezo katika ngazi za michezo na kiuchumi. Tumekuwa na silika kuwa wazungu ndio watu wa maana zaidi yetu, sio uungwana huo. Kwenye familia yangu kuna wazungu na nimekua na wazungu, wao masiki zaidi ya wabantu. Sasa michangi hiyo inayotolwa na wabongo huko Ulaya ingejenga timu kibao kabambe hao home, na TZ tungeweza kushindana katika ngazi za kimataifa kama SA vile. Tuzidi kuwa wazalendo na waungwana. Piamambo ya ushuru mkubwa kwa vitu ambavyo Tanzania hatuproduce haisaiidiii kwani hatulindi masoka ya ndani na tunakwamza maendeleo. Naona kizazi cha siasa za Ujamaa na kujitegemea kikipita labda tutapata viongozi bora wenye incentives za maendeleo na sio siasa za ujamma.maanake ujaama umekwisha duniani na sio mfumo mzuri wa kiuchumi, na bila uchumi bora, hakua maiha au afya bora.
ReplyDeleteHello hivi hizi namba kwenye mabano ni umri wa wachezaji au ni nini..?? Kama ni umri mbona ni wadogo sana..??!!. Hawa bwana wadogo wa Singinda inaonekana wamepania kuchukua kote, wanacheza kwa kuijtuma sana, kwa nguvu zote muda wote pamoja na ku-miss "tick tucker" ya kufa mtu.
ReplyDeleteHongera Singida.Na hongera Mohamed Dewji Mbunge wa Singida mjini kusaidia maendeleo hapo. Ingawaje hii timu itaitambulisha Singida kwenye Dunia ya Tanzania. Go Singida!!!
ReplyDelete