SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 29/5/2010 KULIFANYIKA UZINDUZI RASMI WA STUDIO YA SEE RECORDS ILIYOPO MJINI NAPOLI ITALY.SEE RECORDS INA NIA YA KUONDOA KIU YA WASANII WENGI WALIOPO TANZANIA NA NJE KATIKA KUENDELEZA MZIKI WA KITANZANIA NA WA KIZAZI KIPYA BONGO FLAVA.SEE RECORDS PIA WANATOA HUDUMA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEOCLIP NA FILAMU. UZINDUZI HUO ULIAMBATANA NA UFUNGUZI RASMI WA DUKA LA PAMBA LA SEEWEAR STYLE. KWA MAWASILIANO NA SEE RECORDS WATUMIE E-MAIL KUPITIA ANUANI HII: tnzncommunity@yahoo.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2010

    Mhh jamani, studio Napoli, Italy halafu wateja wanatafutwa Tanzania. Mimi sijawahi kuona. Hiyo naona labda ni ajili ya watanzania na watu wengine walioko Italy lakini kwa aliye Tanzania naona ni ngumu kidogo. Labda nimepitwa na wakati maana najaribu kuangalia logostic ya hiyo recording inakuwa ngumu kidogo. Haya jamani studio hilo twendeni tukarecord nyimbo zetu, muziki, taarabu, mashairi, ngoma zetu nakadhalika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...