


TIMU YA KIPEPEO TOURS NA TIMU YA TGT
Ufunguzi wa bonanza la michezo la Karibu Fair umeanza leo katika uwanja wa Tgt kwa timu 6 na matokea yalikuwa yalikuwa Tanzania 2000 adventure 2-wild track ilishinda kwa goli 3, Zara Tours iliwashinda the Arusha goli 5 kwa sifuri na timu ya Kipepeo Tours iliishinda Tgt kwa magoli 7 kwa sifuri, Mechi hizo zitaendelea tena Jumatatu.
Hii ndio Arusha ninayoikumbuka. majani ya kijani, mawingu allthe time ...what a town
ReplyDeletesafi sana jamani maboss wa kibongo kama hawa wanahamisha sana afya kwa mazoezi tuige mfano huo tusifuge vitambi na zile kauli za kusema boss kitambi zimepitwa na wakati tuwaunge mkono wenzetu,
ReplyDeleteJERRY
USA
Duh...Arusha hali ya hewa kama mtoni kabisa aisee..
ReplyDelete