HABARI NJEMA KWA WASANII WA SANAA ZA AINA ZOTE TANZANIA, BONIPHACE MBOGO, ANAKULETEA " THE ENCYLOPAEDIA OF ALL TANZANIAN ARTISTS" NI JUZUU YENYE MKUSANYIKO WA PAMOJA WA MAELEZO MUHIMU NA HISTORIA ZA WASANII WA AINA ZOTE ZA SANAA NCHINI TANZANIA, KUANZIA WAIMBAJI WA MUZIKI WA AINA ZOTE, WAIGIZAJI, WACHORAJI, WASUSI, WAFINYANZI, WACHEZA NGOMA ZA ASILI, WACHEZA SARAKASI, WANAMITINDO, WANAMICHEZO NAKADHALIKA.

KAMA WEWE NI MSANII WA AINA YOYOTE ILE YA SANAA KUTOKA NCHINI TANZANIA, NA UNATAKA HABARI ZAKO ZIJUMUISHWE KWENYE " ENCYCLOPAEDIA" TAFADHALI WASILIANA NA MWANDISHI WA ENCYLOPAEDIA HII BWANA BONIPHACE KWA MBOGO KWA SIMU NAMBARI : +255 652 458398 ILI AWEZE KUKUPA UTARATIBU WA KUPATA NAFASI KATIKA KITABU HICHO CHA KIPEKEE NA CHA KIHISTORIA..

EWE MSANII WA KITANZANIA, TUMIA NAFASI HII VIZURI KWA KUWEKA KUMBUKUMBU ZAKO KATIKA JUZUU HII ITAKAYO SAMBAZWA KATIKA TAASISI MBALIMBALI UTUNZAJI KUMBUKUMBU DUNIANI.

KUMBUKA: SPOKEN WORDS PERISH BUT WRITTEN WORDS SURVIVE"

KWA MAELEZO ZAIDI:
PIGA SIMU +255 652 458398.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...