Katibu Mkuu wa BASATA Bw. Gonche Materego
(kati) akiangalia sanaa za watoto wakati wa tamasha hilo

Mratibu wa Elimu wa Kampuni ya TSN, Nassara Nzwala ( wapili kutoka kushoto) katika picha ya pamoja na waandaji wa Tamasha la sanaa la watoto, wa kwanza ni Meneja wa mauzo wa TSN Mkoa wa Morogoro
Mjomba akiwa na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Solomon Mahlangu tamashani
Msanii Mrisho Mpoto ' Mjomba' alifuatilia kwa makini wimbo wake uliimbwa na mwanafunzi wa darasa la tano kutoka Shule ya Msingi Solomon Mahlangu , Araphat Segumba, akiimba wimbo wa 'mjomba' wakati wa Tamasha la Sanaa la Watoto ' Paukwa ' 2010 lililifanyika wikiendi hii mjini Morogoro. Wadhamini wakuu ni Daily News na Habari Leo
Mwanafunzi wa Darasa la Tano kutoka Shule ya Msingi Solomon Mahlangu , Araphat Segumba, akiimba wimbo wa 'mjomba' wa Msanii Mrisho Mpoto wakati wa Tamasha hilo la Sanaa la Watoto Umati wa wanafunzi wa kutoka shule 13 za Msingi Manispaa ya Morogoro, wafurahia onesho la Tamasha la Sanaa la Watoto' Paukwa' 2010. Picha zote na mdau John Nditi






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. David VillaMay 23, 2010

    TWIGA STARS 8-ERITREA 1

    ReplyDelete
  2. bro michu vipi?nimeshtuka leo kukuta hii mada hapa kwako ikiwa na jina langu:isaac mwamgogwa,kiukweli ni kwamba mimi niliibiwa password ya email yangu kisha jamaa wakachukua contact zote ndani halafu wakaanza kuwatumia mail kama hizi watu wote humo kwa jina langu.kiukweli sio mimi ninayeomba msaada wa pesa ila ni hao jamaa walioniibia hiyo password ndio wanatumia.toka kipindi hicho mpaka sasa nimepata usumbufu mkubwa kwani kuna watu wametuma pesa kwa hao jamaa wakizani ni kweli ni mimi nina shida,licha ya hiyo pia kuna mambo mengi ambayo jamaa wanaendelea kusumbua watu kutoka kwenye hio mail address.isaac mwamgogwa ni mimi na sina shida yoyote mahali popote na ninakanusha kwamba sijamtumia mtu yeyote mail ya kuomba msaada.ahsante.mdau isaac mwamgogwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...