Home
Unlabelled
Tangazo kutoka A-Taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wanauza bunduki hapo ? msiogope nilitaka kwa ajili ya kuwindia porini wanyama.. tehe tehe tehe
ReplyDeleteHilo litakuwa duka la mchaga bila shaka!
ReplyDelete...daah "KITU CHOCHOTE".... wako siazi kweli hawa??!
ReplyDeleteLo! labda tuhoji leseni yao iko je .Je ni kweli walioomba kuuza na kununua chochote? wanalipa kodi? Nafikiri namlaka husika itusaidie kufatilia suara hili.
ReplyDeleteSijui watamuuzia nani hayo masink yaliyovunjika. Naona kuwa watu waliwaingia mjini na kuwauzia wao junkies...
ReplyDeleteYeah anaweza kuwa mchagga kwavile tumeelimika tunajua recycling ni muhimu kutunza mazingira...Umeshasikia ule msemo unasema One person's junk is another person's treasure? Habari ndio hiyo una kitu cha kuuza peleka hapo unataka kununua kitu anzia hapo....LOL
Wanauza maisha kwa bei gani?
ReplyDeleteUjasiriamali hoyeeee!!!! (itikieni basi).
ReplyDeletemdau uliyesema recycling nakupa thumbs up! Halafu wanalalamika wachagga wameendelea kuliko wengine jamani akili ni nywele kila mtu ana zake. If you loose opportunity someone else will get hold of it. Endeleeeni kushangaa tu mtabaki hapo hapo!!!!
ReplyDelete