Hey ankal poley na gurudum la libeneke....nimekutana nahii taswira hapa A-taun nkasema niwashirikishe wadau...soma na uiangalie kwa makini ii picha.
Mdau A-tauni City

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2010

    wanauza bunduki hapo ? msiogope nilitaka kwa ajili ya kuwindia porini wanyama.. tehe tehe tehe

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2010

    Hilo litakuwa duka la mchaga bila shaka!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2010

    ...daah "KITU CHOCHOTE".... wako siazi kweli hawa??!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2010

    Lo! labda tuhoji leseni yao iko je .Je ni kweli walioomba kuuza na kununua chochote? wanalipa kodi? Nafikiri namlaka husika itusaidie kufatilia suara hili.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2010

    Sijui watamuuzia nani hayo masink yaliyovunjika. Naona kuwa watu waliwaingia mjini na kuwauzia wao junkies...

    Yeah anaweza kuwa mchagga kwavile tumeelimika tunajua recycling ni muhimu kutunza mazingira...Umeshasikia ule msemo unasema One person's junk is another person's treasure? Habari ndio hiyo una kitu cha kuuza peleka hapo unataka kununua kitu anzia hapo....LOL

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 20, 2010

    Wanauza maisha kwa bei gani?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 21, 2010

    Ujasiriamali hoyeeee!!!! (itikieni basi).

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 21, 2010

    mdau uliyesema recycling nakupa thumbs up! Halafu wanalalamika wachagga wameendelea kuliko wengine jamani akili ni nywele kila mtu ana zake. If you loose opportunity someone else will get hold of it. Endeleeeni kushangaa tu mtabaki hapo hapo!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...