Wanafunzi wote watanzania mnaosoma katika chuo kikuu cha Lumumba mnataarifiwa kwamba kutakuwa na uchaguzi wa viongozi wa T.S.U tarehe 16/5/2010 siku ya jumapili saa kumi kamili jioni(16:00) katika ukumbi wa interclub.Nafasi za uongozi zinazo gombewa ni:-
1.Mwenyekiti wa T.S.U.
2. Mwenyekiti msaidizi wa T.S.U.
3.Katibu Mkuu wa T.S.U.
4.Katibu Mkuu msaidizi wa T.S.U. & nbsp;
5.Katibu wa Elimu.
6.Katibu wa Elimu Msaidizi.
7.Katibu wa Fedha.
8.Katibu wa Fedha Msaidizi. 9.Katibu wa utamaduni, michezo na masuala ya Jamii.
10.Katibu Msaidizi wa utamaduni, michezo na masuala ya Jamii.
Kwa wale wanaotaka kugombea Form zinapatikana kwa :- Swilla Livingstone(Mbunge),Block 10 room 715.Pia zinapatikanakwa Mkange Habibu Shaha(Block 2 room 356 ).
Mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu ni tarehe 14/5/2010
Ni matumaini yangu kwamba mtajitokeza kwa wingi siku ya uchaguzi ili tupate viongozi makini,wachapakazi na waadirifu.

Swilla Livingstone M.(Mbunge)
(M/kiti tume ya uchaguzi T.S.U)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 09, 2010

    Salama SWillla?
    Mbona umejichanganya. Kichwa ni wanafunzi wanaosoma urusi. uchaguzi ukasema ni wale wanaosoma chuo kikuu cha Lumumba. Naamani haujalenga wanafunzi wa Lumuba pekee kwani kuna vyuo vingi urusi ambapo watanzania wapo. Uchaguzi huu ni chini ya katiba gani, wanafunzi wa Lumuba, au watanzaia wasomao Urusi..Mbunge? kuwa makini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...