ZA LEO ANKALI
WATANZANIA NA WALE WOTE WANAOWEZA KUSOMA HAYA YALIYOPO, KWA MANUFAA YETU SOTE, NI MUHIMU KESHO TUENDE TUKAPIGE KURA ILI TUWEZE KUCHAGUA VIONGOZI AMBAO WANA MANUFAA KWETU UKIZINGATIA UK IPO KATIKA KIPINDI KIGUMU CHA KUSHUKA KWA UCHUMI.
WATANZANIA NA WALE WOTE WANAOWEZA KUSOMA HAYA YALIYOPO, KWA MANUFAA YETU SOTE, NI MUHIMU KESHO TUENDE TUKAPIGE KURA ILI TUWEZE KUCHAGUA VIONGOZI AMBAO WANA MANUFAA KWETU UKIZINGATIA UK IPO KATIKA KIPINDI KIGUMU CHA KUSHUKA KWA UCHUMI.
WALIOANZA NA CONSERVATIVES WANAJUA SERA ZAO, WALIO INGIA NA LABOUR WANAJUA SERA ZAO, LIB DEMS TUTAJUA UTEKELEZAJI WA SERA ZAO KAMA WATASHINDA.
JE NI CHAMA GANI CHENYE MANUFAA KWETU? CHAGUO NI LETU!
TWENDENI TUKAPIGE KURA KESHO ALHAMISI TAREHE 6-5-2010
HABARI NDIO HIYO....!!!!
MDAU UKEREWE


Mie siko UK ila nimeangalia debate na kufuatilia huu uchaguzi kwa makini. I think UK will be better off wakimchagua David Cameron na chama chake cha Conservative Party.
ReplyDeleteHehehe nakupongeza kwanza mdau wa mwanzo kwa maoni ya conservative najua unataka wageni wasiingie tena uk.Pili huyu aloweka tangazo sisi inatuhusu nini Ikiwa UK INA WAKATI MGUMU,HUANGALII KWENU HUKO ? HAO WAZUNGU WENYEWE WANAKIMBILIA AFRIKA NA NDIO MAANA HATA UKISOMA HAPA BIASHARA SWALI LINAKUJA WAPI NI MAHALA BORA KUEKEZA-JIBU NI AFRICAN COUNTRIES NA NDIO MAANA MKUTANO UMEHAMIA TANZANIAAAAAAAAA SASA HIVI WA UCHUMI.UKOME
ReplyDeleteMdau Thu May 06, 12:03:00 AM utendaji wa chama na serekali hauangaliwi tu kwenye sera zilizoandikwa vitabuni na kusemwa mdomoni, Matendo ya uongozi na usimamizi wa kazi ndio silaha muhimu katika maendeleo na kufanya maamuzi ya nani achaguliwe.
ReplyDeleteTory Sio chama, waliharibu nchi wakati wa Margreth Thatcha, na wataendelea kufanya hivyo, Usidanganyike na kijana wa Eden Anavyobwabwaja. Conservatives sio chama, Kwa anayetaka kuvote, Akachague Labour, ndio mwikozi wetu, wengine ni BNP kinyemela japo hawaweki wazi.
Tory walikataa workers rights na kupinga National minimum wage, Walikataa Unions etc...Tungoje tuone nani ataibuka kidedea. Ila Kwa asiyekuwa na maamuzi kabisa, Mi namshauri akachague Gordon na chama chake.
ulivyoandika twendeni tukapige kura kwani huko wenzetu hata wahamiaji mnaruhusiwa kupiga kura?au ndio mmeshaikana bongo maana dual uraia hoja bado iko bungeni.
ReplyDelete