Walianza kutembea na mbwa sasa wazungu wanatembea na NGURUWE
picha hii imepigwa katika kijiji cha ROQUETAS DE MAR-HISPANIA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2010

    How sweet jamani? heheh najua hiyo imemuudhi ustadhi. Nikirudi Bongo nami nitaanza kufuga kaguruwe kangu halafu nakatiza nako mitaa ya Kariakoo toka hapo naenda nacho Zanzibar hehehe ten teh teh

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2010

    YA NGOSWE MWACHIE NGOSWE, PILIPILI USIYOILA YAKUWASHIA NINI? THAT IS THE WAY OF LIFE THEY CHOSE, STOP NAGGING AND WHINGEING MAN

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 10, 2010

    Kesho na mie natoka na bata!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 10, 2010

    mim sishangai ila tupeana haki ya ufugaji wanyama..mim ninegomba wapitishe sheria yakufuga mamba tu..mana wanasema sis tusiopenda mbwa ni wajinga..

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2010

    chaa ajabu kipi mbona bongo mnatembea na mbuzi au ule uganga wa kienyeji

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 11, 2010

    "kijiji cha ROQUETAS DE MAR-HISPANIA"
    ILA HII IMENICHEKESHA KWAMBA HAPO NI KIJIJI KWA HIYO MJINI PAKOJE? YAANI NI KWAMBA MTU AKITOKA MJINI AKISEMA ANAENDA KIJIJINI KWAO NI HAPO NIKIPAANGALIA VIZURI NAONA NI PAZURI KULIKO BAADHI YA MITAA YA POSTA

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 11, 2010

    Anon wa 07:28:00. Usiwaige saaana Wazungu ili nawe usije ukaanza kufanya ngono (sex)("bestialism") na mbwa na nguruwe hao kama waliivyokiri 4% ya wanawake wa USA na Ulaya katika sex surveys mbalimbali (mbali ya wale wanaoficha). Kwa hivyo ukija huku Bongo na mbwa na Nguruwe wako usiende kuwalipa machangudoa walale na hao "wanyama wapenzi wako" kama wanavyofanya baadhi ya ma-expatriates. Nakubaliana na anon wa 7:46:00 pm : kila watu wana utamaduni wao, let them be... ukienda mahali wanafuga nyoka kama pet, sawa... ukienda mahali hawataki ufuge mnyama fulani, sawa pia...sio eti uwapelekee mnyama wasiomtaka simply because you (anon wa 7:28:00 pm) hate them!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 11, 2010

    mbona kawaida sana ndugu,kwani wewe umefikiri nini mayb?

    uhuru wa maisha ya mtu kwa nchi husika

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 11, 2010

    Siyo kwamba anatembea nae kama rafiki bali anatoka nae malishoni na anamrudisha zizini.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 11, 2010

    Hakuna lolote wazungu wamechanganyikiwa tu, muda si mrefu watapitisha sheria waruhusiwe kuoa hao kitimoto wao halafu sisi tunasema wamestaarabika, wehu tu hao na anaewafuata tabia zao pia mwehu!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 11, 2010

    nyie waafrika wenzangu hovyo kweli akili zenu azichaji na ndio maan mnkufa kila siku na ukimwi.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 11, 2010

    Anon wa 02:41:00 p.m. Kwani huna habari kuwa hapa tz kuna wazungu wanawalipa vizuri dada zetu malaya ili wafanye ngono na mbwa wao? kwa wale msio vijana sana mtakumbuka ile kesi ya mzungu aliyemfanyisha demu mmoja mbongo sex na mbwa wake katika miaka ya 90 hapa dar. Sioni vibaya kuona kuwa wazungu wametutawala kiuchumi na kiteknolojia (hiyo inaonesha planning, seriousness na organistion yao.) Ninachoona vibaya ni kuwa hawatatulia mpaka watutawale kiutamaduni na kimaadili pia, including kuzishinikiza nchi zetu ziruhusu ndoa za jinsia moja (wasenge na wasagaji) au mtu na mkewe wanyonyane ulimi mbele ya wazazi wao au ngono kati ya mbwa na binadamu mwanamke au watoto kujibizana na kuwatukana wazazi wao. Tutafakari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...