Home
Unlabelled
ulaya ulaya...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
How sweet jamani? heheh najua hiyo imemuudhi ustadhi. Nikirudi Bongo nami nitaanza kufuga kaguruwe kangu halafu nakatiza nako mitaa ya Kariakoo toka hapo naenda nacho Zanzibar hehehe ten teh teh
ReplyDeleteYA NGOSWE MWACHIE NGOSWE, PILIPILI USIYOILA YAKUWASHIA NINI? THAT IS THE WAY OF LIFE THEY CHOSE, STOP NAGGING AND WHINGEING MAN
ReplyDeleteKesho na mie natoka na bata!
ReplyDeletemim sishangai ila tupeana haki ya ufugaji wanyama..mim ninegomba wapitishe sheria yakufuga mamba tu..mana wanasema sis tusiopenda mbwa ni wajinga..
ReplyDeletechaa ajabu kipi mbona bongo mnatembea na mbuzi au ule uganga wa kienyeji
ReplyDelete"kijiji cha ROQUETAS DE MAR-HISPANIA"
ReplyDeleteILA HII IMENICHEKESHA KWAMBA HAPO NI KIJIJI KWA HIYO MJINI PAKOJE? YAANI NI KWAMBA MTU AKITOKA MJINI AKISEMA ANAENDA KIJIJINI KWAO NI HAPO NIKIPAANGALIA VIZURI NAONA NI PAZURI KULIKO BAADHI YA MITAA YA POSTA
Anon wa 07:28:00. Usiwaige saaana Wazungu ili nawe usije ukaanza kufanya ngono (sex)("bestialism") na mbwa na nguruwe hao kama waliivyokiri 4% ya wanawake wa USA na Ulaya katika sex surveys mbalimbali (mbali ya wale wanaoficha). Kwa hivyo ukija huku Bongo na mbwa na Nguruwe wako usiende kuwalipa machangudoa walale na hao "wanyama wapenzi wako" kama wanavyofanya baadhi ya ma-expatriates. Nakubaliana na anon wa 7:46:00 pm : kila watu wana utamaduni wao, let them be... ukienda mahali wanafuga nyoka kama pet, sawa... ukienda mahali hawataki ufuge mnyama fulani, sawa pia...sio eti uwapelekee mnyama wasiomtaka simply because you (anon wa 7:28:00 pm) hate them!!!
ReplyDeletembona kawaida sana ndugu,kwani wewe umefikiri nini mayb?
ReplyDeleteuhuru wa maisha ya mtu kwa nchi husika
Siyo kwamba anatembea nae kama rafiki bali anatoka nae malishoni na anamrudisha zizini.
ReplyDeleteHakuna lolote wazungu wamechanganyikiwa tu, muda si mrefu watapitisha sheria waruhusiwe kuoa hao kitimoto wao halafu sisi tunasema wamestaarabika, wehu tu hao na anaewafuata tabia zao pia mwehu!
ReplyDeletenyie waafrika wenzangu hovyo kweli akili zenu azichaji na ndio maan mnkufa kila siku na ukimwi.
ReplyDeleteAnon wa 02:41:00 p.m. Kwani huna habari kuwa hapa tz kuna wazungu wanawalipa vizuri dada zetu malaya ili wafanye ngono na mbwa wao? kwa wale msio vijana sana mtakumbuka ile kesi ya mzungu aliyemfanyisha demu mmoja mbongo sex na mbwa wake katika miaka ya 90 hapa dar. Sioni vibaya kuona kuwa wazungu wametutawala kiuchumi na kiteknolojia (hiyo inaonesha planning, seriousness na organistion yao.) Ninachoona vibaya ni kuwa hawatatulia mpaka watutawale kiutamaduni na kimaadili pia, including kuzishinikiza nchi zetu ziruhusu ndoa za jinsia moja (wasenge na wasagaji) au mtu na mkewe wanyonyane ulimi mbele ya wazazi wao au ngono kati ya mbwa na binadamu mwanamke au watoto kujibizana na kuwatukana wazazi wao. Tutafakari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete