hilo lori hapo mbele ni la kampuni moja hivi ya kusafisha jiji katika wilaya ya Kinondoni na hapo limesimama ili kuwarahisishia wafanyakazi wa kampuni hiyo kuweka uchafu wa majani wanayoyapunguza katika bustani iliopo katikati ya barabara ya Kawawa road na hakuna alama yeyote ile ya kiusalama inayoonyesha kuwa gari hilo limesimama hapo mpaka ulifikie ndio unashtukia kama limesimama kama ilivyokuwa kwa huyu mwenye hii pikup.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2010

    za mwizi arobaini. Manispaa hazijui kujiekea utaratibu wa usafi wa mazingira mpaka wasikie Kikwete au mgeni fulani anapita. Aibu kwa kweli kwa kuwa na viongozi wasiokuwa na upeo wa maendeleo. Hivi Tanzania tutafika lini jamani!!!!! INASKITISHA NA KUTIA AIBU

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 24, 2010

    wananikera kweli kusimama barabarani kupakia taka , tena hamna alama inayoonyesha kama wamesimama , kuna siku nilitaka kulivaa gari la taka mungu alinisaidia nikafanikiwa kusimamisha gari,hamna taa nyuma wala reflector ya aina yoyote nyuma , HIVI HILI NI GARI LA KUZOA TAKA AU GARI LENYEWE TAKA ?
    GARI NA TAKA HAMNA TOFAUTI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...