Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Tanzania ( TCB), Adolph Kumburu ( kushoto) akifafanua jambo wakati wa mkutano juu ya mkakati ya kuainisha na kuhamasisha Kilimo cha zao hilo katika Mikoa ambayo ilianza kuendeleza zao hilo, ( wapili) ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo , Pius Ngeze na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya, walipokutana na wadau wa Mkoa huo juzi.( Picha na John Nditi).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...