TIMU YA HARASS EL HODOOD INAZIDI KUIANGUSHIA MVUA YA MAGOLI TIMU YA SIMBA MARA BAADA KUIFUNGA BAO LA TANO MNAMO DAKIKA YA 30 YA MCHEZO HUO KATIKA KIPINDI CHA PILI NA KUFANYA MATOKEKU KUWA 5-1.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2010

    wanasema refa amewaua lakini haohao wanasema wamepata nafasi tano wametumia nafasi moja. sasa sielewi hapa refa anatatizo gani?

    Tatizo ni uwezo sio refa kama wanvyomsingizia.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2010

    Saaaafiiiiii, Safi Sana! Magoli kama Basketball vile! Walijiamini sana, Wanyama hawa! ... "Malipo ni Duniani, Akhera Kuhesabiwaaa"... Egypt Oyeeeee!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2010

    ha ha ha ha! walisema hawana "allergy" na waarabu sasa kipigo cha namna hii imekuwaje. ila tunashukuru maana sasa tutahema. mdomo ulizidi

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2010

    timu zetu kama kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa!!!!! aibu tupu

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 09, 2010

    Wambura ameanza kazi!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 09, 2010

    AAHHH WAZEE WA MECHI ZA K IMATAIFA MNAZIDI KULITIA AIBU TAIFA. ENYIMBA AGGREGATE ILIKUWA 7-1 LEO 6-3. MNAZIDI KIJITAHIDI LAKINI, MWAKA UJAO MNAWEZA PATA 5-3. HONGERENI KUPUNGUZA GAP.

    ReplyDelete
  7. Yaaser67May 09, 2010

    Duh jamani hii ndio timu yenye Best goal scorer, Best Coach, Best Goalkeeper AIBU!!!!!! Ubora wa Kaseja uko wapi??? Ati ANKAL MICHU hawa Kama BWAWA LA MAINI VILE!!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 09, 2010

    Duh kweli HARAS EL HOOD wamewa-HARASI hasa Simba. yaani wanapigwa mkono kama wanachuma matango vile

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 09, 2010

    YAMEKUWA HAYA TENA! ALBA!kumbe afadhali ile timu ingine........

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 09, 2010

    salaaalah!!!!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 09, 2010

    haya ni maoni ya wanamichezo kweli?au wamachinga wa k'koo

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 09, 2010

    mlipobahatika kufunga vile vigoli mlijiona mmewini shughuli kumbe walikuwa wanawachora mmeona leo mmechezeshwa netball hamna lolote ubishoo wenu bongo tuu mmefuliaaaa safi sana kwa kichapo mkome kuchonga ati mnyama leo ikawaje?

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 09, 2010

    hizo ni jeulos 2 sasa mkapige debe ubungo basi msaidiane pale au mtangaze cnn na bbc.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 09, 2010

    Goli tano kama alizofungwa Mustafa Bathez na timu ya taifa.

    Mithupu hebu tupe list ya timu yetu iliyocheza jana, golikipa alikuwa nani?

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 10, 2010

    ha ha ha ni pale mnyama anapogeuka kuwa mbwa koko jeuri yenu TZ tu si mmejifanya mnamaliza ligi bila kufugwa sasa mlikuwa mnabana nini yaani ni wastani wa kila dk 20 goli...........aibu yao aibu yetu? aibu yao wenyewe

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 10, 2010

    ha ha ha ni pale mnyama anapogeuka kuwa mbwa koko jeuri yenu TZ tu si mmejifanya mnamaliza ligi bila kufugwa sasa mlikuwa mnabana nini yaani ni wastani wa kila dk 20 goli...........aibu yao aibu yetu? aibu yao wenyewe

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 10, 2010

    Sijui kwa nini Phiri Hakumpanga Tanzania One na alimweka nnje Musa Magoli

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 10, 2010

    SIMBA KAPAKATWA

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 10, 2010

    Ohh Kseja, Ohh Maximo anamchukia kipa no. One.

    Sii huyu huyu Kaseja alikula za Enyimba na El Hood cha aajabu nini.

    Wabongo bado tuna kazi kub wa kufikia kiwango cha Wamisri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...