JK akimkaribisha ikulu Rais Wa Zimbabwe Robert Mugabe Ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.Rais Mugabe yupo nchini kwa mazungumzo na Rais Jakaya Kikwete.
JK akimkaribisha ikulu Waziri wa Maendeleo wa Denmark Soren Pind leo mchana.Baadaye viongozi hao wawili walifanya mazungumzo rasmi. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.

Kwa Mazuri tutakusifu JK. Hongera kwa mkutano huu mzuri na pia hongera kwa kuinua jina la Tanzania.
ReplyDeleteKwa mema lazima tutakusifu tu. Kazi yako kwa upande huu ni nzuri sana.
Mungu akutie nguvu.
Wee Anony May 04, 10:54:00PM....Yaani ni hilo TU uliloliona wewe la muhimu kuwa Wa-Tanzania wanalo muhitajia JK?
ReplyDeleteWa-Tanzania tunasikitisha sana, iwapo watu wanaridhika na upeo wetu fikra unakomea kwenye issue zisizo na tija kwa taifa!!
Tutafika tu!
ReplyDeleteDuh! Kamanda Mugabe noma....achezi mbali na waziri mkuu wake(Tsvangirai).kaamua kuja kubanana nae Dar.Hatakalosema asikie live no kuadisiwa.
ReplyDeletemie nafikiri EU wamemtuma denmark awasemee meseji yao kwa mugabe (via JK)
ReplyDeletesasa tunasubiri watuambie wanateta nini. jongwe bado yumo tu ingawa anatakiwa aende kula pensheni yake, bilioni hamsini kwa wiki!
viva mugabe viva malema viva wapenda africa wote kwa ujumla sio kuabudu wakoloni tu.aluta continua
ReplyDeleteJamani, najaribu kuwafanyia mambo mengi kadri ya nafasi zilizopo na tunazozitengeneza, mbona mnakuwa mnanishambulia namna hiyo kila wakati? Tulieni, acheni nifanye kazi yangu. Na nyie mtimize wajibu wenu katika nafasi zenu kikamilifu, kwa pamoja tutafika (bega kwa bega).
ReplyDeleteYaani kwenye huu mkutano, kamanda na jemedari ni mmoja tu, MUGABE.
ReplyDeleteKATI YA VIONGOZI WALIOBAKI HAI AMBAO NI MFANO WA BABA WA TAIFA LA TANZANIA J.K.NYERERE NI MBABE ROBERT MUGABE.
ReplyDeleteNAMPA CREDIT B+ KWA KUJIAMINI BILA WAOGA KUWARUDISHIA RAIA WAZAWA ARDHI AMBAYO NDO THANA MUHIMU KWA WANANCHI WA ZIMBABWE.
KWA MTAZAMO WA KIBEPARI RAIS ANAONEKANA NI DIKTETA, LAKINI KWA HALI YA KUJALI HALI YA MAISHA YA WAAFRIKA WENGI NI SHUJAA WA UPEO WA HALI YA JUU SANA
Mdao hapo juu hujakosea.Uoni hata JK anafurahi sana baada ya kukutana na rais wa kweli Africa.Mungu amape maisha marefu Jongwe.
ReplyDelete