The Kilimanjaro band 'Wana Njenje'
wakitumbuiza jijini Tokyo, Japan, enzi hizooo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2010

    Heshima kwenu wana Njenje,umoja na mshikamano wenu ndio umewafikisha pahali mlipo,muziki wenu ni wa ki utu uzima na wenye kuburudisha watu wa rika zote,endeleeni hivyo hivyo na kazi yenu nzuri,na pia muwe mfano wa kuigwa na bendi zetu nyinginezo za ki tanzani,idumu Njenje.mdau Japan.jirani ya mzee matsunaga,chiba au garrisoo mosusu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...