Baadhi ya wasanii wa vikundi vya Sanaaa wakifuatilia kwa makini shindano la kupata kikundi bora cha sanaa cha Manispaa ya Morogoro kitakachoshindanishwa na Wilaya nyingine za Mkoa ili kupata nyimbo bora itakayotumika kuhamasisha wananchi juu ya elimu ya mapambano ya kupiga vita Rushwa mwaka huu wa uchaguzi yaliyofanyika jana mjini hapa. Picha na John Nditi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...