Baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro, wakiwa kwenye mstari mrefu wakisubiri zamu ya kuchukua vyeti vya kuzaliwa baada ya kukamilika kwa zoezi maalumu ya uandikishwaji wa vyeti hivyo katikati ya Mwezi huu kama walivyokutwa jana kwenye viwanja vya Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Morogoro. Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii mji kasoro bahari
Home
Unlabelled
FOLENI YA KUSUBIRI VYETI VYA KUZALIWA MORO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wote wanaonekana ni vijana wadogo tu ambapo nyakati walizozaliwa mambo ya vyeti yalikuwa yameshaanza tayari.
ReplyDeleteDili za kugushi umri ndo huanzia hapa kama scandal ya Bw.Masauni wa UVCCM.
kuwe na utaratibu basi wa kuwatumia watu vitu kama hivyo kwenye masunduku yao ya posta kulingana muda ambao mtu amepewa badala ya kutengeneza foleni zisizokuwa za msingi. Hii itaboresha ufanisi na utendaji kazi kwa pande zote.
ReplyDelete