Kinadada kutoka kabila la Wataturu wilayani Manyoni Mkoani Singida wakijadili jambo leo wakati wa sherehe za maadhimisho ya wiki ya Utamaduni inayofanyika kitaifa katika Viwanja vya Maadhimisho mkoani humo.
vijana wakicheza ngoma ya asili ya Wataturu leo wakati wa sherehe za maadhimisho ya wiki ya Utamaduni yanayofanyika kitaifa katika Viwanja vya Maadhimisho mkoani Singida.

Mdau akimchagua binti wa kucheza naye ngoma ya asili ya kabila hilo inayojulikana kama ngoma ya Wataturu leo wakati wa sherehe za maadhimisho ya wiki ya Utamaduni yanayofanyika kitaifa katika Viwanja vya Maadhimisho mkoani Singida.


Wacheza ngoma wa kabila la wataturu Wilayani Manyoni wakitoa burudani leo kwa kutumia mikono na fimbo ambazo huzipiga na kupata milio tofauti na kuifanya ngoma yao kuvutia.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2010

    nimewapenda sana!!

    tanzania tuna makabila hata sijawai kusikia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...