Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Ha ha ha haaaaaa.....Ankal mtoto wako yupo wapi? wenzio wameonyesha wakwao...tunakusubiri wewew sasa!

    CHIBI.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2010

    Lol! Ankal, ni kwamba umetupa mugongo, au ndio umemficha mwanao?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 03, 2010

    lol ankal hii fulani si ulishapiga mnada readings kusaidia mfuko sijui wa nini? au umenunua nyingine? au haikununuliwa kwenye mnada

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 03, 2010

    sasa hii imekuwa "we kaka nipe mgongo" ama?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 03, 2010

    ANKO WAPI TENA??TSHIRT ZA LIBENEKE ZIKO WAPI?MDAU FRYDELUNDS GATA

    ReplyDelete
  6. Baba UbayaMay 03, 2010

    Ankal,
    inahuzunisha kuona wadau wa Mji wa Kusoma wamegoma kupanda dau ktk mnada wa ze fulanaz.yani hata ktk first bid hakuna aliyejitokeza?
    haha

    aniwezi,farewell ya Liverpool kwa wapenzi wao nliipenda sana jana.nadhani hiyo ni moja ya mambo yanayofanya Club hiyo kuwa Special.was kinda emotional but also very inspiring to their fans.

    no wonder why they say "YNWA"

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 03, 2010

    Ankal, haya yalisemwa na kina Ian Rush, John Barnes, karibia miaka 30 sasa, nini kipya? Mtaishia hapo hapo. Ila isiwe taabu, Chelsea walikaa miaka 50 bila ushindi....ipo siuku nanyi mtaonja utamu wa kuwa bingwa wa Premier Ligi. One day, ila bado saana mpaka Mze Bigi G astaafu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 03, 2010

    Michuzi, we mwizi. Nakumbuka hii fulana ilipigwa mnada pale Reading na wewe ulikuwepo kuitoa. Watu wameshinda wanasubiri hilo fulana, kwanini umelichukua tena? Nani kakupa hiyo idhini?

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 04, 2010

    mwanao ndio huyo unaemsukuma?? ha ha ha ha ha

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 04, 2010

    JAMANI NIMECHEKA SINA MBAVU. MIMI NILIPOTIZAMA PICHA YA MWISHO SIKUJUA KAMA NI ANKAL HALAFU NIKAFIKIRI NI MMOJA WA WACHEZAJI ANAINGIA NA MWANAYE LAKINI PICHA HAIKUCHUKULIWA VIZURI.

    NIMEKUJA KUSHTUKA KUWA NI ANKAL NA ANACHOENDESHA SI KIGARI CHA MTOTO BALI KIGARI CHA MIZIGO AIRPORT BAADA YA KUSOMA MAONI.
    ANGALAU NIMEPATA CHA KUNIFURAHISHA KIDOGO BAADA YA KUJIKUTA NIKO OFISINI SAA KUMI NA MBILI NA NUSU ASUBUHI KUKWEPA KUFUNGIWA BARABARA.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 04, 2010

    uwiiiiiiiiiiiiiii mwanaume behind bwanaaa!!!libeneke oyeeeeee

    na hao liver na hakuna kitu hapo,wakalale mbele uko,kazi kuwashurutisha watoto na kuuza sura

    angalau nimepata now la kinipotezea mawazo baada ya mipasho ya jana ya presidaaHa!!

    dar poleni kwa foleni jamani,kaeni tu home kwani mtakua ata ivo mnatekeleza agizo la tucta kiaina,maana mfanyeje mfike kazini???

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 04, 2010

    Ha ha jamani hii kali

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...