Home
Unlabelled
WE WILL BACK !! YOU WILL NEVER WALK ALONE! PLAYERS WANAMEREMETA NA WATOTO WAO ANFIELD
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ha ha ha haaaaaa.....Ankal mtoto wako yupo wapi? wenzio wameonyesha wakwao...tunakusubiri wewew sasa!
ReplyDeleteCHIBI.
Lol! Ankal, ni kwamba umetupa mugongo, au ndio umemficha mwanao?
ReplyDeletelol ankal hii fulani si ulishapiga mnada readings kusaidia mfuko sijui wa nini? au umenunua nyingine? au haikununuliwa kwenye mnada
ReplyDeletesasa hii imekuwa "we kaka nipe mgongo" ama?
ReplyDeleteANKO WAPI TENA??TSHIRT ZA LIBENEKE ZIKO WAPI?MDAU FRYDELUNDS GATA
ReplyDeleteAnkal,
ReplyDeleteinahuzunisha kuona wadau wa Mji wa Kusoma wamegoma kupanda dau ktk mnada wa ze fulanaz.yani hata ktk first bid hakuna aliyejitokeza?
haha
aniwezi,farewell ya Liverpool kwa wapenzi wao nliipenda sana jana.nadhani hiyo ni moja ya mambo yanayofanya Club hiyo kuwa Special.was kinda emotional but also very inspiring to their fans.
no wonder why they say "YNWA"
Ankal, haya yalisemwa na kina Ian Rush, John Barnes, karibia miaka 30 sasa, nini kipya? Mtaishia hapo hapo. Ila isiwe taabu, Chelsea walikaa miaka 50 bila ushindi....ipo siuku nanyi mtaonja utamu wa kuwa bingwa wa Premier Ligi. One day, ila bado saana mpaka Mze Bigi G astaafu.
ReplyDeleteMichuzi, we mwizi. Nakumbuka hii fulana ilipigwa mnada pale Reading na wewe ulikuwepo kuitoa. Watu wameshinda wanasubiri hilo fulana, kwanini umelichukua tena? Nani kakupa hiyo idhini?
ReplyDeletemwanao ndio huyo unaemsukuma?? ha ha ha ha ha
ReplyDeleteJAMANI NIMECHEKA SINA MBAVU. MIMI NILIPOTIZAMA PICHA YA MWISHO SIKUJUA KAMA NI ANKAL HALAFU NIKAFIKIRI NI MMOJA WA WACHEZAJI ANAINGIA NA MWANAYE LAKINI PICHA HAIKUCHUKULIWA VIZURI.
ReplyDeleteNIMEKUJA KUSHTUKA KUWA NI ANKAL NA ANACHOENDESHA SI KIGARI CHA MTOTO BALI KIGARI CHA MIZIGO AIRPORT BAADA YA KUSOMA MAONI.
ANGALAU NIMEPATA CHA KUNIFURAHISHA KIDOGO BAADA YA KUJIKUTA NIKO OFISINI SAA KUMI NA MBILI NA NUSU ASUBUHI KUKWEPA KUFUNGIWA BARABARA.
uwiiiiiiiiiiiiiii mwanaume behind bwanaaa!!!libeneke oyeeeeee
ReplyDeletena hao liver na hakuna kitu hapo,wakalale mbele uko,kazi kuwashurutisha watoto na kuuza sura
angalau nimepata now la kinipotezea mawazo baada ya mipasho ya jana ya presidaaHa!!
dar poleni kwa foleni jamani,kaeni tu home kwani mtakua ata ivo mnatekeleza agizo la tucta kiaina,maana mfanyeje mfike kazini???
Ha ha jamani hii kali
ReplyDelete