Wilson Kaigarula
mwandishi nguli Wilson Kaigarula ameibuna na novo mbili kwa mpigo, 'Baa medi' ya kimatumbi na 'The Old Idiot' ya kiinglishi, ambazo zimeshaanza kusambazwa madukani. Kwa maulizo mwandikie email wkaigarula@yahoo.com
ama mtwangie kwenye
+255 713 450 633

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2010

    mimi nimeshakisoma cha baa medi kinachekesha ile mbaya. vituko vyote vinavyotokea baa utavikuta kwenye kitabu hiki. ukiwa umekasirika ukisoma kitabu hiki utacheka mpaka mbavu ziume.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2010

    IDIOT !!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2010

    i remember that kidevu's stories!!sharp mind mr kaigarula. lkn system haipendi watu kama wewe.

    ReplyDelete
  4. Nitakipataje kitabu cha bar med hapa Usa?
    hii ni email adress yangu davinausa@hotmail.com
    yeyote mwenye kujua namna ya kukipata tafadhali nijulishe.
    Asante
    mdau
    Washngot stat
    Usa

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 21, 2010

    Fatuma ushawekewa email ya muhusika hapo chini ya hivyo vitabu! nadhan itakuwa rahisi zaidi ukimuuliza muhusika jinsi ya kuvipata! anaweza akakatumia kwa njia ya posta nk! swali lako nini tena?

    mdada JB washington DC

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2010

    Duh!!!Kaigalula upooo? Ni miaka mingi sijakusikia wala kukutia machoni mwangu. Nilikuwa nikiuona ukipita pale upanga na suti nyeupe miaka ya 80 mwanzoni tunakushangilia tukiwa wadogo. Aise nimefurahi sana kukuona pichani na kisikia kuwepo kwako,

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 21, 2010

    MICHUZI

    Samahani kidogo..huyu mtunzi kitabu naona anafanana sana na Sekioni wa Ze Comedy vipi wanauhusiano? kama hawana uhusiano na labda walishawahi kuishi mtaa mmoja zamani nashauri Seki akapime DNA..

    ReplyDelete
  8. ScandinaviaMay 21, 2010

    Asante kaka Michuzi kwa kutupa taarifa za nyumbani.Sasa ninaomba kujua kitabu cha Bar medi nitakipataje,napiga boksi ughaibuni ila next week nateremka nyumbani,so nataka nikipate nicheke niwachukulie na wenzangu nikirudi huku tuje tucheke vizuri.Yaani huyo mwanamke alivyobeba tu hivyo vinywaji vimenikumbusha mbaali sana, bar medi akija kumfungulia mwanaume beer anakaa pale pembeni eti sometimes anakuwa anakumiminieni kabisa, aah teh teh kaka zetu mnaraha kwelikweli.Halafu siku ukija umeongozana na mwanamke wako, anakununia walahiii nyumbani kuna utamu na vituko juuu.
    Asante sana,
    mdau wako,
    Finland.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 21, 2010

    nawapenda sana Kaigarula na kwa kiasi kikubwa namfananisha na fadhili mohd aka dogo wa uswazi

    hawa jamaa wameshiklilia fasihi hii ya mwafrika na hasa ya mtu mweuzi. ni wachache ambao kwa wakati huu wa sasa wanafanya kazi dhidi ya upepo uliopo. ni kitu kizuri kilioje kuwa na watu wanaowakilisha kazi zinazzofanana na jamii inayiowazunguka. kulikuwa na agoro anduru pia..mungu amlaze palipo pema.....

    ni wakati lakini jamii ya watanzania imeshtuka na kugundua kuna haja ya kulinda tunu nyingi zilizokuwa zinapotea. tunawashukuru pia tbc kwa kushikia kidedea hilo...tunaona sasa kuna na matamasha ya ngoma hapa na pale na watu wameanza kuukubali utamaduni wao...mungu ibariki tanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...