Ankal, ona kijana alivyojichora flag ya Tanzania kwenye
nyimbo maalum ta World Cup ya Akon na Keri Hilson.
Mdau Sauzi

wimbo maalumu wa kombe la dunia wa Akon

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2010

    bomba, me likey

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2010

    Hopefully the 'Volcanic Ash' will have cleared by then. Otherwise, one of our African team will make history this year, given the on and off flight cancellation trend.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2010

    Dah kweli wabongo tunapenda kusifiwa,
    mbona kuna Bendera za nchi kibao tu,so whattttt if kuna Bendera yetu wakati si hata Group stag kupita ni mbinde.
    Ukitaka upatane na Mbongo we msifie tu.
    Ukimwagia sifa tu,aaah hata kama kuna issue alikuwa ameiweka pending itakaa sawa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 06, 2010

    Ujumbe kwa Wizara ya Utalii... pamoja na asasi mbali mbali za utalii nchini:

    Huu wimbo ukiusikiliza kwa makini ni kama vile unahusu Tanzania kuliko nchi zote nyingine za Afrika. Kizuri zaidi ni umeimbwa na magwiji wa fani ya sanaa ya muziki kutoka taifa linalotoa mchango mkubwa sana kwa taifa letu kupitia sekta ya utalii. Nitatoa mifano miwili tu ya tungo zinazozungumza mengi kuhusu utalii Tanzania:
    Keri Hilson: "We're choosing nowhere, we'll do what it takes to get to the top of the highest mountain..."
    Akon: "Our time to be inside the sky..."

    Hizi tungo mbili zinagusia sana mlima Kilimanjaro (highest mountain + access to being inside the sky by climbing the mountain). Pia kuna mbuga ya hifadhi iitwayo Kilimanjaro hapo mlimani.

    Hata zaidi, watalii wakija nchini pia hupeda kufika sehemu mbali mbali nyingine ambazo ni mahsusi kwa ajili yao e.g. Z'bar, Serengeti etc. na hivyo kuboresha pato la taifa.

    Na hata zaidi, huu wimbo (tuutazame kama ujumbe) umekuja kipindi ambacho nchi za ulaya na marekani kaskazini zinaelekea kwenye msimu wa majira ya joto (summer), kipindi ambacho huwa wanapend sana kuzungukia sehemu mbali mbali za dunia kiutalii. Achilia mbal kombe la dunia kipindi hicho hicho na tena karibu kabisa na nchini kwetu.

    This is a wake-up call, a call to take advantage of opportunites and act fast. Tutumie mwanya huu kadiri iwezekanavyo sasa. Ninahisi wakenya wana-brainstorm right now on how to capture this opportunity even though Mt. Kilimanjaro and the like are in Tanzania. Let's be active and make use of this opportunity. Na siimaanishi wimbo tu ila pia kombe la dunia. Naamini kuna mengi mnafanya katika kuboresha na kutangaza utalii nchini, but I believe we can do much more with this song now and around then. Best of luck!

    Mdau in Canada.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 06, 2010

    Si matezo haya!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 06, 2010

    he kwani kuweka bendera ni ishu?? ishu ni timu yetu ndio ilitakiwa iwepo kule south kuwakilisha ndio tungejitapa hayo mengine ni kama maurembo tuu noo big deal

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 06, 2010

    we anon Thu May 06, 12:38:00 AM sasa wewe ulitakaje si mtu ametoa information sasa wewe unaponda nini?Kitu nilichokiona hapa kitu chochote kitakachofanywa na Mtanzania au cha kusifia Tanzania utaona watu wanakiponda sana lakini kingekua kinafanywa na mzungu au kusifia wazungu au Marekani ungeona wabeba box wanabanana hapa kufagilia.Acheni hizo bwana msijizaraulishe sana kwani ukipenda kusifiwa kuna ubaya gani?Kila mtu anadizain yake ya maisha nchi nyingine wanapenda Ubaguzi nyingine Ukabila sasa si afadhali hii yetu tunapenda kusifiwa.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 06, 2010

    Great song. I like it!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 06, 2010

    WEWE ANNONYMOUS WA MAY 06 12:38AM MSHAMBA TU, DUNIA HII NANI ASIEPENDA KUSIFIWA, HIVI MRADI MKO HUKO NJE BAASI... KWANINI MTU ASIFURAHI KUONA NCHI YAKE INAWAKILISHWA... YANI MKISHAENDA HUKO MNAKUWA WASHAAAAMBA BIG TIME

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 06, 2010

    WABONGO KALAGHABAHO NA MISIFA, MTAISHIA KUWA WASHANGILIAJI, NAMUUNGA MKONO MDAU HAPO JUU, MBONA BENDERA ZA NCHI KIBAO ZIMEONEKANA KUONEKANA YENU NDO IWE BONGE LA ISHU?
    SIO KIIVO WADAU..
    MBONA BOB MARLEY KTK COVER ALBUM YA SURVIVOR ALIITOA BENDERA YA BONGO AU KIPINDI KILE, TULIKUA TUNASHABIKIA MAMBO YA MSINGI TU..ILA KWELI HATA TIMU YA TAIFA ENZI HIZO ILIKUWA JUU TOFAUTI NA SASA KUTOA DROO TUNAJISIFU,

    MAILI MOJA, KBH

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 06, 2010

    watu wakishakuwa nje ya nchi wanaowana watz wenzao walokuwa tz wajiinga hawana mawazo wao ndio kila kitu ..wakati huko wanabeba box tu kwa kazi za masaa 12 ...duniani kuna bedera za nchi nyingi kuwa bendera yetu imetoka kati ya flag chache ni jambo zuri .....

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 06, 2010

    rangi zetu watanzania na za Africa angalieni bendera nyingine Africa zina rangi hizo hizo tu....

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 07, 2010

    Hio ni sawa kuweka bendera ya Kazakhstan, nani anayeijua hio nchi kwenye dunia hii?
    lakini ukiweka Bendera ya Brazil watu duniani wataifahamu mara moja.
    ukiongelea riadha basi kwenye dunia hii watu watakuambia Kenya.
    Tanzania tuko mbali saana kimichezo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...