KAMAU WA KENYA

Hey Michuzi,
I would like to contribute to ‘Kamau’ who always lash on Tanzania for the reasons apparently known to himself or Kenyan. I would like to remind that our neighbors are striving to widen a gape every other day. Honestly I’m closer to Nigerian or Ghanaian than Kenyan. I hate to say this! I live in multicultural community and never ever I have thought of Kenyan as neighbors, simply because of their pompous, boisterous and arrogance behavior which is unique in the EA.

I had an opportunity to work in Kenya and visited many districts and villages. I’m shocked to read that there are stupid people who assume that Kenya is a rich Nation! I was in Kibera and Mathare the biggest slums on this planet. I was in Kisii and Kerako where it is extremely difficult to find a pit latrine! It is absolutely inconceivable for Kamau to proud of Kenya as the land for elite! I have never seen people living in such an abject poverty like in Kenyan [Not Westland in Nairobi].
Children in Nairobi Street hold human excreta to scare people as a means of survival. These are children from Wealth nation Kenya.
I traveled to unsafe Garisa and Isiyolo! Mogadishu is much better the least to say.
I was in Coast region where poverty and illiteracy scares any sensible human being except Kamau.

Kamau, there are many ways of investment not necessarily construction of Airport. Inspiring the next generation could be one of them. Today we see many players who were inspired by Pele, Maradona,Roger Miller,Kanu,Okocha etc etc. So it is upon Tanzania to decide which way they want to invest and not the one Kenya is interested with. Kamau the Money from Anglolease corruption scandal [$ 150M] could be used to get rid of Kibera,so think of Kibera before you think of Dar International Airport.

Three years ago, I terminated my contract in Kenya because Colleagues were unhappy with Boss from TZ. I was threatened every minute, Huyu MTZ si arudi kwao, I left with no regret because the society was hostile to me as Tanzania. The Organization appointed Odongo as new boss. As a second Kenyan citizen, Odongo did not survive the aggressiveness and arrogance of Mount Kenya elites, he quitted as well.

Mr. Maggid said it all, just to remind Tanzanian few things. First, the so called Kamau is a journalist who lashed on Tanzania in the past. Apparently he is unofficial spokesman of the Kenyan people. Remember the East Africa HQ saga was initiated by the same journalist and echoed by minister to the extent of straining the relationship. Kenya is vexed by the Tz stance on various matters she wanted to get a lee way in EA community. We will never succumb to your pressure; try it to Rwandese or Tutsi. Thanks God, Migingo Island taught Uganda a lesson on bullying and arrogant behavior of her neighbor.



What we see from Kamau is a prototype of Kenyan, home and abroad. As long as he has unwashed neck tie, sandals and could utter words similar to English, he or she is educated. The TZ must learn to live with these people since the common market is on horizon, no wonder tribalism, arrogance, incivility are few commodities we will import across Holili/Namanga checkpoint. So Kamau should serve as a wake up call when going to common market. His attitude and sentiment toward Tanzania represents behavior we should expect from Nairobi. Please TZ see Kenyan in a wide prism as we may invite trouble in short period. These people hate us locally and in international platform. Our fellows have grandiosity and superiority complex problems, therefore we must prepare to align them so that they can fit and mimic our values and norms, otherwise we will subject our people to imported uncouth behavior and culture as demonstrated by Friend KAMAU.

My advice to Kamau and his society is that, it is not too late to learn civilization within your country. Please could you ask Mombassa people to help you communicate with the world in civility language! If that will not help, see your Psychiatry Dr for more assessment. Otherwise leave Tanzania to Tanzanian.

Uncle Kamau, we proud of Mashaka and Dr Shayo, these are common Tanzanian you will meet in Dar streets every day. Just a tip ,Nyerere wanted the EAC in 1963, Kibaki the then MP of Makadara voted against the proposal. Fifty years later the president of ‘intelligent people of Kenya’’ is fostering the same! Is this the great thinking you and Tutsi are up to! Of course you have gotten something in common, machetes, rungu and blood in your hands

Kamau’s idea, sentiments, attitudes, arrogance and his aptitude to affront our nation dignity represents the true picture of our bothers in Nairobi. Please never provide a cordial welcome to Kenyans! Imagine! If Kamau could be an investor or a Boss [subject to mental check up] what to expect from him if not humility and arrogance

Once again, he speaks on behalf of ……………!!!!
Thank you
Kim
-------------------------------------------
ANGALIZO
Huu mjadala wa Kamau, kwa mujibu wa wataalamu mbalimbali nilioongea nao, unasemekana ni mzuri katika wakati huu ambao tunakaribia wana Afrika Mashariki kuwa Kitu kimoja. Hayo yasemwayo, ukiondoa lugha chafu kwa baadhi yetu, yapo na mengine yana ukweli. Kubwa zaidi hayajapata kuongelewa kwa kina. Hivyo ni kama kutaka kufunga ndoa watu msiojuana. Hivyo inagwa ni kweli siungi mkono upande wowote kwa kuwa mie ni tarishi tu, lakini si uwongo kwamba si vibaya uendelee kwa misingi ya staha na lugha zisizochafua hali ya hewa kutonana na jazba.
-Michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 39 mpaka sasa

  1. hawa watu sio watu wala majirani zetu ni maadui,kwanza mimi niliwa hi kuwa na mahusiano na mkenya mmoja mpaka tulifikia kutaka kuoana,lakini wazazi wake walitoa ubaguzi wa hali ya juu sana,kiasi walilazimisha kwa njia yoyote tuachane kisa mimi mtanzania,lazima mtoto wao aolewe na mkenya mwenzake doh.halafu pia wiki iliyopita mkenya kanianzishia fujo tu bila sababu kisha kaenda kuwaita wasomali waje wamsaidie ugomvi na kunipora,bahati nzuri niliwahi kuchomoka.achaneni nao hawa watu mnapoteza hata muda kubishana nao

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2010

    Mimi nafikiri Ankal hii issue ya Kamau kwanza huyu mtu si Mkenya na pili napenda kusema huyu ni Mtanzania ambaye amezaliwa Kenya na kukulia alf ya life yake huko sasa amejaribu kuingia bongo akifikiri atafanikisha malengo yake kirahisi lakini akakutana na milima plus mabonde. Akaamua kuleta yale ya kitabu cha Kiswahili darasa la nne pale sungura aliposema Sizitaki Mbichi hizi. Akaamua kuleta ufahamu wake duni ktk blog ya jamii. Please asicheze na wanablog kwani Uchaguzi wa TZ ni miezi michache ijayo na yeye kama Mkamau kutoka kwa akina baba Kayayi ameamua kuwepo ktk kundi la kutaka TZ uchaguzi ulete madhara kama ya Kenya miaka miwili iliyopita.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 06, 2010

    Is this a broken/scratched compact disc? Why is it repeating itself so much?

    Does Ka-Mau intend to run for some political post in the near future or something?

    Maybe he should be clear with what he wants first, for us INTELLECTUALS to give meaningful contributions.

    He can't insult us Tanzanians in no uncertain terms, and yet expect us to take him seriously.

    Just because Kenyans '' Speak better BROKEN English'', does not mean that they are better (in any way) than us Tanzanians or the rest of the EA Countries for that matter. English is just a language just like Ki-Bantu is.

    Personally I have not managed to grasp Ka-Mau's point.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 06, 2010

    Bwana ankal
    Mi nasema hivi hawa Jamaa wanatuchokoza makusudi wakijua kuwa tunaelekea kuwashinda katika Sekta zote

    Mi nasema hivi hiyo july 1 ambapo soko la pamoja litafunguliwa Mtu akitoka Kenya kuja kuvamia kajishamba Kangu mi Nta mchinja tu

    maana hawa Jamaa hawana nidhamu wala Heshima

    Dawa ni kuwauwa


    Mkuu usii bane hii maana waweza sema nimetumia maneno makali saana lakini mi nashindwa kuvumilia

    kama klutuibia wameshaiba vya kutosha sasa mi natoa wito kwa watanzania akikugusa we kata kichwa ili waone maana halisi ya kumwita mwenzio mnyama inakuwaje.

    ReplyDelete
  5. katelephoneJune 06, 2010

    well spoken kim, the guy is retarded for sure!sort out ur own house first b4 u trying to sort out ur neighbours house.To be honesty this EAC is going to welcome very funny creatures from kenya to TZ, lets wait and see.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 06, 2010

    Ujumbe umefika huo na Tatutakubali kuona Taifa letu linakashifiwa na watu ambao hawana utaifa nao. Let Tanzania be for Tanzanians...!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 06, 2010

    Huyu Kamau ni Mkenya kweli au ni Mtanzania anayewacheza shere Watanzania wenzake na kusubiri kuona watakavyojawa na jazba kwa kile watakachoona ni kukashifiwa na 'nyang'au'? Nimeanza kuingiwa na wasiwasi.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 06, 2010

    Mjadala mzuri, Michuzi. Lakini nadhani tungekuwa mbali sana kama tungekuwa tunapeleka nguvu zetu kujadili matatizo kama haya [Kenya NA Tanzania]:

    http://vijanafm.blogspot.com/search/label/Lars

    Cha kusikitisha ni kwamba mjadala unatawaliwa na hisia zaidi kuliko ukweli wa mambo na matatizo kwenye nchi zetu. Tutapata suluhisho? Sidhani... na sitashangaa Watanzania tukianza kunoa mapanga yetu (kwa ajili ya Wakenya?).

    Kumbukeni maneno ya JKN:

    "Dhambi ya kubaguana ni kama kula nyama ya mtu... Kamwe hautaacha."

    Leo tunawabeza Wakenya, kesho ndugu zetu Wazanzibari, kesho kutwa tutawatupia macho wakwe zetu, jirani na kadhalika.

    Tafadhali, tuleteeni facts na sio nimeishi/nimefanya kazi/ninawafahamu Watanzania/Wakenya.

    Inauzzziiiiiiiiii!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 06, 2010

    Thank you uncle Kim. Kwanza Kenya ishakuwa contaminated na wasomali. Serikali ya Kenya umelose control and there is nothing it can do, too late! Kuna sehemu inaitwa Eastleigh (Isilii), kumejaa wasomali maelfu kwa mamia, hawana vibali lakini wanajulikana kuwa wote ni wakenya halali. Wana passport zaidi ya kumi kila mmoja.

    Sasa wasije huku na passport zao za Kenya wakacontaminate na nchi yetu pia. Huyu Kamau angekuwa na uchungu na nchi yake hivi angeacha Somali ikaweteke bila vita? Believe me, ni kama tusema Kindondoni yote, au Kariakoo yote iwe ya Wasomali Tu! No local Kenyan allowed to live peacefully in that area! Na sasa nasikia hao wasomali wameshatajirika na umasikini wa wakwenya wa kawaida na wamenaza kununua majumba katika maeneo ya Masaki/Oysterbay ya Kenya, nina maana kama vile parklands, westlands, nk... Kwa mtu ambaye hajawahi kufika Kenya na kuona watu wanavyoishi ni rahisi sana kumuamini Kamau kuwa Kenya ni nchi nzuri kuliko zote Africa. Lakini ukienda ukaishi kwa mwezi mmoja au miwili tu, utaona kweli wabongo tuko peponi. Hawa watu hawafai kabisa!

    Tunasisitiza, tunakaribisha soko la umoja kwa manufaa yetu sote nchini mwetu lakini hatutaki majigambo yenu na roho mbaya kwa wazawa. Kutukashifu kuwa hatuna akili na nyie kujiona bora kuliko sisi muache kabisa mara moja! Nimejitahidi sana kufuta maneno na sentensi nyingi na kuhakikisha nisitoe lugha chafu ili post yangu uncle asiibanie. Unanisikia we Kamau?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 06, 2010

    Wakati Watanzania wanafanyiwa fitna na kutimuliwa/kuachia post zao, hasa katika mashirika ya Kimataifa huko Kenya, Sisi tumewakumbatia sana hawa wakikuyu!

    Kwa siye fahamu, asilimia kubwa ya mashirika ya Umma yaliuzwa kwa Kenya (S.A 2nd place) wakati wa Mkapa! Wakenya pia wanendesha biashara nyingi Tanzania, na kushikilia post kubwa kubwa katika Makampuni ya kigeni!!

    Inawezekana tumekwisha chelewa? wanamiliki hata magazeti yanayotuchonganisha kila kukicha Bidhaa nyingi za viwandani pia ni za kutoka Kenya! Je tumekwisha chelewa? Madhara ya kufungua milango yetu kidogo tu tumekwisha yaona hususan kuongezeka kwa vitendo vya ujambazi, Tutakapoweka milango wazi kabisa itakuwaje?

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 06, 2010

    Wewe kama Kingereza ulichoandika hapo juu ndicho ulichokuwa ukitumia Kenya basi huenda uliachishwa kazi kwa sababu ya hilo manake Kenya kwa kweli wasingekuelewa (Uwongo mbaya). Rekebisha lugha alafu omba tena Kazi. Cha msingi hapa ninachoweza kusema ni kwamba wewe umegubikwa na Hasira na Nia Mbaya hivyo nahisi unalenga kupandikiza chuki badala ya kuleta uelewa katika swala hili.

    Hii agenda kwanza Kaka Michuzi watu hapa wanatumia matusi na wewe unaruhusu ukisema wewe ni TARISHI.

    Ikumbukwe kwamba matusi kusema Wakenya hivi au Watanzania vile hakutatupeleka kokote na wengine hata kudiriki kusema "TUTAWAUA WAKENYA" hapa naona haitufanyi tuwe tofauti na KAMAU hata kidogo labda KAMAU NI ZAIDI MANAKE ANAHANGAISHA VICHWA VYA WATU WENYE AKILI ZAO NA BUSARA ZAO... Pengine utofauti na KAMAU ni jina tu lakini kwa wengi wanaotuma maoni hapa sioni tofauti na huyo KAMAU ndio maana amekuwa maarufu.

    MICHUZI NIBORA KUWA MAKINI NA MICHANGO YA WATU FULANI INAWEZA KUTUPELEKA PABAYA... NI OMBI...

    IMESHAFIKA HAPA ANONYMOUS KUSEMA ATAUA NA TUNAMRUHUSU... AU KWA SABABU AMETAJWA "MKENYA" NDIYE ATAUWAWA. UCHAGUZI UNAKUJA NA TUSISHANGAE CCM PIA KUSEMA CHADEMA TUTAUA. MANAKE HAPA MAUAJI INAONEKANA SASA NI RUKSA.

    KWA MTINDO HUU NA MPINZANI YEYOTE MAPANGA. MAUAJI YA ALBINO NA BIBI VIZEE RUKSA. JE NI "WAKENYA" HAO?

    KAMA HATUKEMEI HILO BASI MAUAJI YATAENDELEA KAMA KAWAIDA ALBINO NA BIBI VIZEE, WANASIASA KUFA KIAINA NA MENGINEYO KAMWE HAYATAISHA.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 06, 2010

    nimekaa sana na wakenya nje, ni bora hata wanigeria, ghana lkn sio wakenya.hawa watu wanawezana wao kwa wao tu na pia hata watu wamataifa mengine huwa wananiuliza kwanini upo tofauti na wenzako kitabia coz huwa wananiona naongea nao kiswahili, wanakera sana hawa watu na pia wanadharu kwa wafrika wenzao hususani watz na wanawatukuza sana weupe

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 06, 2010

    oooo poor kamau do you know what? kenya is not a rich country, Kamau kenyans are the worse people in east africa who want to live with kenyan no one; why? kamau knows''and now you want to tell us how to spend our money why dont you go and tell kibaki how to spend kenyans money that will help you people.. your a brazilian fan and they cant make it to kenya couse its not safe im sorry but your wellcome in dar es salaam on june 7 to watch the game this is how we do in Tanzania we dont care about your bulling behavior or your unusual kenyan harbit...who cares about kenya nobody and there is nothing there they need help people they are all like kamau dont even think about they are woman no romantic word you will get from them insted of comand hahahahaha kenyan they are nothing...

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 06, 2010

    Most of the comments I read on PAULO KAMAU seem to be abusive so it means that there is no difference between those abusing Kenyans and "PAULO KAMAU"

    MY CONCLUSION

    1."PAULO KAMAU" IS MOST PROBABLY TANZANIAN - He is very consistent in posting comments just like "US BLOGGER"
    2. PAULO KAMAU NI "MBISHI NA HAKUBALI KUSHINDWA"
    3. PAULO KAMAU MAKES ANKAL'S BLOG TO HAVE MORE HITS AND MAYBE SHOULD BE PAID - JUST A JOKE HERE.
    4. PAULO KAMAU NI "MCHONGANISHI"
    5. MOST IMPORTANTLY, ALL THOSE WHO ABUSE KENYANS OR ANY OTHER PERSON ARE THE SAME AS PAULO KAMAU - THEY ARE ALL ABUSIVE AND HAVE ILL INTENTIONS
    6. AT THIS RATE WE WILL RUN OUT OF DECENCY IN THIS BLOG.

    MY QUESTION: WHERE ARE THE DECENT PEOPLE IN THIS BLOG???

    BY A KENYAN BLOGGER

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 06, 2010

    Kaka Michuzi,

    Blogu hii kwa huko unakopeleka na kuacha watu waandike watakavyo nadhani si sawa,

    Kumbuka vyombo vya habari vyaweza kujenga ama kubomoa, kukosoana si jambo baya lakini wewe kwa kutoa hayo majina yanayoonyesha kabisa kutoka wapi na kutoa hata maoni yenye kupandikiza chuki badala ya kuwekeza katika changamoto zinazotukabili si kitu chema inawezekana unafurahia kwa sababu ya watu wanavyozidi kuchangia lakini kaa fikiria na tambua kuwa kwa kuruhusu ujengwaji wa chuki kama huu kamwe si sawa

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 06, 2010

    Hawa wakenya si wa kuamini hata kidogo, na sisi waTZ tunalijua hilo, tunaingia EAC kwa makini mno na wakileta za kuleta tunawafutilia mbali kwani UWEZO TUNAO, NIA TUNAYO, SABABU TUTAKUWA NAYO. wawaulize majirani zao walivyotia adabu. Ndugu zangu watanzania, msitengeneze urafiki na wakenya na kuwaamini, tusiruhusu hata kuchanganya damu nao. Watabanana huko huko na hawawezi kumiliki ardhi ya TZ hata siku moja. Tutawamaliza hata kwa juju.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 06, 2010

    Ankala
    Gado-Katuni nae emeingia kwenye mjadala wa Kamau bila kujijua.Please kama inawezekana weka iyo katuni. Inapatikana kwenye Sunday Nation, wavuti http://www.nation.co.ke/oped/-/1192/1192/-/13i5vkl/-/index.html.

    ReplyDelete
  18. Balozi anayeiwakilisha Brazil nchini Tanzania bwana Francisco Carlos Soares Luz leo asubihi amenena kuwa hakuamini kwa mara ya kwanza kuwa timu ya taifa ya Brazil ilikuwa inakuja Dar-Es-Salaam katika mechi ya kujipima nguvu kabla ya kuanza rasmi michuano ya kombe la dunia nchini Afrika Kusini hapo tarehe 11 mwezi wa 6 mwaka huu.

    Akizungumza katika mahojiano na waandishi wa habari wa Redio Clouds Fm katika kipindi cha asubuhi “ Power Breakfast” balozi Francisco Carlos Soares Luz alisema “ nilipigiwa simu na mwandishi wa gazeti la the Citizen akiniuliza kuhusiana na ujio wa timu ya taifa langu.kwa kweli sikuwa na taarifa hizo na wala sikuwa nategemea suala hilo kutokea.

    Ilinibidi kuwasiliana na watu mbalimbali nyumbani Brazil na baada ya siku kadhaa nilipata uhakika wa kuwa timu ya taifa ya Brazil inakuja kucheza mechi moja na Taifa Stars. Kusema ukweli nilifarijika na kujisikia furaha kupata habari hizo.

    Akiendealea kuelezea balozi anasema mchakato wa ujio huo wa timu ya Taifa ya Brazil Tanzania ulifanywa siri kubwa kati ya mashirikisho mawili ya mpira ya Tanzania na brazil kwenyewe.

    Akijibu swali kuhusu ni kwa jinsi gani wabrazil pamoja na yeye waishio Tanzania wamepokea habari hizo Balozi alijibu “ kwa kweli naisubiri siku hiyo kwa hamu na shauku kubwa kwani naelewa kuna wabrazil ya pata 50 hivi waliopo hapa nchini. Kuna baadhi wapo hapa Dar-Es-Salaam na wengine wapo Morogoro, Mbeya na Mtwara.

    Wote kwa pamoja hii ni nafasi yao nzuri ya kushuhudia mahusiano mazuri ya kitamaduni kati ya watu wan chi hizi mbili. Mimi pia naisubiri siku hiyo kwani itakuwa faraja kwangu kukaa uwanjani na mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais kikwete tukiangalia mchezo huo

    Pia nina habari kuwa kuna raia wengine wa Brazil watakaokuja Tanzania kuangali mechi hii kati ya Tanzania na Brazil ambao wanatoka Nairobi Kenya , Angola na Mozambique. Tayari shirika la ndege la Mozambique limeongeza safari zake za kuja nchini Tanzania ikiwaleta watu hawa ku ushuhudia mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na wapenzi wa mpira huo katika ukanda huu wa Africa Mashariki na zaidi.

    HICHO KILICHOPO JUU NDICHO KINACHOWAUMIZA WAKENYA!!
    BY MDURBAN

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 06, 2010

    KINACHOWAUMIZA WAKENYA SIKU ZOTE HAWATAKI KUONA WATANZANIA TUNAAMKA NA KUENDELEA KWA KILA JAMBO!!WANAJUA DHAHIRI KUWA TZ KUWAALIKA BRAZIL NI KUJITANGAZA NA ITALETA POSITIVE KTK UCHUMI WA NCHI YETU COZ MWANZAO TULIVYOLALA WAKENYA WALIKUWA WAKISHANGILIA KUTOKANA WALIKUWA WAKIFAIDIKA KTK KILA SECTOR!!KUANZIA VIWANDA, MADINI, UTALII,KILIMO NA AJIRA. SASA TUMEMPATA RAISI MZALENDO JAKAYA WAKIKWETE AMEFUNGA MILANGO YOTE YA DANGANYA TOTO ZA KIKENYA WANAANZA KUTAPATAPA.
    KUHUSU TZ KUWAALIKA BRAZILI HILO TUNALIITA STRATEGIE MARKETING TOURISTIQUE SO NI MOJA YA NJIA ZA BURE ZA KUJITANGAZA KWANI KILA MPENZI WA SOKA DUNIANI ATAJUA KUWA BRAZIRI IPO TZ, VYOMBO VYA HABARI VITAITANGAZA TZ BURE NAWAO NDIO WATAKAO TULIPA!!WATANUNUA MECHI ILIWAWEZE KUONESHA.
    PIA MAJIRANI ZETU NA WAPENZI WASOKA KUTOKA NCHI MBALIMBALI WATAKUJA KUTIZAMA KWAHIYO KUTAKUWA NA FAIDA KUBWA NA KUONGEZA IDADI YA WATALII PAMOJA NA FOREIGNE CURRENCY NA WATANZANIA TUTAFAIDIKA KWA KUPATA AJIRA MFANO SECTOR YA USAFIRI, MAHOTELI, WAFANYABIASHARA WAKULIMA WATAUZA MAZAO N.K
    WAKENYA WAO WALISHAANZA ZAMANI KUJITANGAZA SASA WANASHTUKA KUONA NASI TUMEAMKA NA TUNAANZA KUFANYA MAMBO YETU VIZURI.
    NA KUHUSU KENYA KUWA WAO WANAUCHUMI MZURI SIO KWELI UCHUMI WAO UPO KWENYE MAKARATASI TU!!WAZUNGU WANAWAVIKA VILEMBA VYA UKOKA WAKENYA ILIWAENDELEE KUFAIDI MAANA KILA KILICHOCHAMAANA KINAMILIKIWA NA WAZUNGU KENYA KUANZIA VIWANDA MPAKA ARDHI WKT WAKENYA WALIO WENGI WANATAABIKA, WANANCHI WAKENYA WALIO WENGI NI MASKINI KULIKO WATZ. MFANO SLAM ZILIPO KENYA TZ HAKUNA WALA DUNIA NZIMA HAKUNA HII NI ISHARA YA UMASKINI ULIOKITHIRI, TZ NI NCHI YA 12 KIMAPATO KWA SERIKALI ZA AFRICA, NA NI YA 18 KWA UJUMLA KIUCHUMI!YA 5 KIPOLITIC!HIZI NI DATA ZA JOURNAL AFRICA HORS SERIES AMBALO LINAELEZEA UCHUMI WA NCHI ZA KIAFRICA KWA MUJIBU WA WORL BANK IFM N.K
    KUHUSIANA WATANZANIA HATA MAJISAFI HAWANA MNAKUMBUKA UKAME ULIOPITA ULIUA MAELFU YA MIFUGO KENYA? HII KUTOKANA NA KUWA KUNAWALIOWENGI KENYA MABOMBA AU VISIMA VYA MAJI SAFI HAWAVIJUI SASA WEWE MKENYA UTAMSEMA LIPI MTZ?
    HAO WANAWAKE WAO KWA UMALAYA USISEME UKIMPELEKA DISCO AU OUT UMECHUKUA KWA KUPENDA STAREHE WAKENYA WANAONGOZA NA WANAPENDA MNO POMBE NA SIGARA MPAKA WANAWAKE WANAVUTA.
    KUHUSU SWALA LA MADINI NI KWELI MADINI HAYATUFAIDISHI CHOCHO TE MAANA YANACHANGIA ASILIMIA 2% TU YA PATO LA TAIFA KWA MUJIBU WA MICROSOFT ENCARTA COLLECTION!! LKN HEBU TUTIZAMA NA HAO WAKENYA WANAFAIDIKA NINI NA MALI ASILI ZAO?WAKENYA WALIO WENGI AMBAO NI MASKINI WAKUKITHIRI HATA SEHEMU ZA KULALA HAWANA HAWANA HAKI YA KUMILIKI ARDHI NASEMA HIVI KUTOKANA KWAMBA ARDHI KENYA INAMILIKIWA NA MABEBARI NA MABEBERU, MALAND LORDS NDIYO WANAMILIKI ARDHI SASA WATZ WENZANGU TUWANYIME AJIRA HAWA ILI WASIJE BAADAE WAKAJA KUTUTUKANA KWAMBA HATA AJIRA HATUNA NAWAO NDIYO WAMEMONOPOLY MAANA SHUKRANI ZAO NI ZA PUNDA NA PUNDA ATABAKI KUWA PUNDA HATA SIKU MOJA HAWEZI KUWA NGO'OMBE.
    WANAJUWA WAZI TZ NI STRATEGIC COUNTRY PANDE AFRICA MASHARIKI NA KUSINI,NA KATI
    MICHUZI BINYA NA HII LKN UKWELI UTAFIKA
    BY MDURBAN

    ReplyDelete
  20. John MashakaJune 06, 2010

    Typically I dont not intervene in discussions because I do not want to influence the outcome the outcome of the debates

    I am forced to contribute here, because our neighbours have developed a sense of " We are the better breed" and as such we need to be extremely careful.

    Yes, Our people talk too much and do too little, however, what is at stake here is not just a meer talk but our future and the future of ur children.

    There are many historical lessons we need to learn from. The Euro is becoming worthless, because the EU expanded so rapidly attaracting countries that were not strong enough to contribute equally.

    similarly Tanznaia may end up paying a heavy price by letting Kenya into its main street. there are many issues we may be compelled publicly. We must resist the single currency and letting these people roam freely in our country

    We must step up the campain and publicly lead a campaign to reject some of the proposed issues

    Thanks
    John Mashaka

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 06, 2010

    Kaka Michuzi hii mada kila nikisoma comment zake nashindwa kuelewa kwanini watanzania hatupendi ukweli. Mimi yaliyozungumzwa na huyo Kamau nakubaliana nayo cha msingi nilitegemea watu waseme kijana asante umetuzindua toka usingizini na sio lugha chafu zinazoandikwa humo. Mimi nimetafakari sana na niliwahi kukutana na Mtanzania mwenzangu akaniambia ukweli wakati mwingine sio mzuri i was shocked..na sioni ajabu watu hao hao kila 5yrs wanapewa ahadi za uongo na hawazinduki...Jamaa mmoja alisema tuko corrupt and not trustworth...nimegundua ni kweli..Jamani ya Kamau mengi ni ya kweli tutafakari upya vipaumbele vyetu tuache lugha chafu.

    ReplyDelete
  22. Accoring to prosperity index 2009, the top 10 Ten countries are:1) Finland 2) Switzerland 3) Sweden 4) Denmark 5) Norway 6) Australia 7) Canada 8) Netherlands 9) United States 10) New Zealand

    The bottom 10 countries are: 95) Kenya 96) Algeria 97) Tanzania 98) Nigeria 99) Pakistan 100) Cameroon 101=) Central African Republic 101=) Yemen 103) Sudan 104) Zimbabwe

    The scores for the rankings are based on the following creteria:

    1. Economic fundamentals 2. Enterpreneurship and innovations 3. Democratic institutions 4. Education 5. Health 6. Safety and Security 7. Governace 8. Personal freedom 9. Social capital

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 06, 2010

    Kwa mtazamo wangu naona huu mjadala ni kwa manufaa ya watani wa jadi na watz wachache tu, sababu kwa kina kajamba nani ka mimi sioni ndani b'coz Kiinglishi iz not rechabo!!!

    kwa hiyo naomba usiendelee sababu unatujazia nzi dawatini tu!!

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 06, 2010

    kusema ukweli tuna more in common na wazambia na malawi hata msumbiji kuliko wakenya. tofauti zetu ndo zilichangia kuvunjika kwa muungano wa kwanza. wakenya wanajiona wapo juu sana ukilinganisha na watanzania. wana superiority complexity dhidi ya watanzania. hilo haliwezi kwisha kwa haraka sana. hakuna cha kitanzania kinachokubalika kwa wakenya.

    kwa upande mwingine hata watanzania tumeshangudua hilo na hatupo tayari kupelekeshwa. na hapo ndo patakuwa na shida kwenye muungano wetu

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 06, 2010

    ANKAL,
    HELA UNAZOLIPWA NA VODACOM PAMOJA NA TBL INABIDI MUGAWANE KATIKATI NA

    1. NABII YOHANA MASHAKA
    2. PAULO KAMAU

    HAWA JAMAA WANA GENERATE HITS SIYO ZA KAWAIDA KWENYE HII BLOG

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 06, 2010

    mbona hii mikataba inapitishwa na watu wachache ambao wanajua future yao, wanajua hata vitukuu vyao watakufaje, kwanini kwenye swala zito kama hili isipigwe kura, nina maana wahusishwe watanzania wenyewe kupiga kura kama tunataka kujiunga na hizo nchi nyengine, mbona tunauzwa huku tunachekelea?

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 06, 2010

    WEWE ANONYM 04:32WA ANAYESEMA WATANZANIA HATUPENDI UKWELI, WAMETUAMBIA UKWELI NI UPI?WEWE UNASAPORT WATU WANAOPINGA MAENDELEO YA NCHI YAKO? JARIBU KWANZA KUELEWA MADA HII IMEANZA VIPI?HUYO KAMAU ANAKEJELI UJIO WA BRAZIL TZ!!SASA HII NI TECHNIC KTK MAENDELEO.

    WAKENYA WANASHIDA KULIKO SISI WATZ.
    SAWA WATANZANIA TUNASHIDA LKN SIO MKENYA WAKUTUSEMA SISI ANATUONYESHEA KIDOLE KIMOJA VINNE VIMEMGEUKIA HILO NDILO LINALOKERA HEBU TUACHE USHAMBA NA INFERIORITY COMPLEX KWENYE VICHWA VENU MAANA MTANZANIA AKISIKIA JINA LA NCHI NYENGINE ANAJUA KAMA PEPONI VILE!!TUJIAMINI SISI NI THE BEST NA NDIO MAANA TUNAWAUMIZA VICHWA HAWA WAKENYA WANABAKI WANAPONDA TU HII NI ISHARA YA KUWA WAO NI DHAIFU NA SIRAHA YA DHAIFU IPO MDOMONI KAZI KUDISCOURAGE TU

    ReplyDelete
  28. PETER NALITOLELAJune 06, 2010

    NO NO NO I DONT GIVE A DEMU WE TANZANIAN ARE NOT EDUCATED MUCH AS KENYANS THIS ARE TRUETH OF BOTTOM MY HEART ECONOMY OF TODAY ARE NOT LIKE YESTERDAY YOUNG BLOOD COULD VOICE THEIRS OPINION SO KAMAU HAVE USE SLANG LUNGUAGE IS NOT INSULTING HERE, WHEN I FINISHED MUZUMBE WITH HONORS OF ECONOMICS AND THEN BOARD BOING TO CANADA TO FINISHLIZE PHD OF MATHEMATICS I LEARNT TO NOT SPEANDING A LOT OF MONEY IN ANY PARTICULAR THINGS ESPECIALLY SPORTS IS LONG VERY LONG NOW TO COME TO HERE LOOKS EVERY BODY THIS ARE TOO MUCH MONEY FOR FRIENDLY FAIR PLAY ECONOMICALLY WE ARE LOOSERS, WE GIVE THEM ALL OUR WEALTHY FOR NOTHING IT IS SHAME OF MY SELF HERE NYERERE IS TRUE SAID ONCE HAKA KAINCHI MASKINI SANA BADO KACHANGA SIYO KAMA CUBA SIYO KAMA ZAIRE AMA ULAYA SASA KWA NINI WE CAN'T SEE THAT IS COMING FROM BACKGROUND? MICHUZI MIGHT NOT SEE THIS COMES BUT I TELL YOU MUCH TANZANIANS NOT AWARE OF ECONOMICS AND IS JUST HAPPY TO WATCH BLAZIL WHICH IS NOT EVEN BETTER TEAM ANY MORE THEY TAKE US FOR GRANTED BECAUSE OF OUR POOR ECONOMICALLY BACKGROUNDS THAT IS ITS.

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 06, 2010

    Melkiory nakusihi ndugu yangu acha mentality ya vigezo vya wazungu vya kukwambia kuhusu umasikini wa Afrika, kwani kuna tofauti kubwa katika vigezo wanavyotumia na hali halisi. Ni Mzungu gani au msomi gani anaweka kigezo cha wellbeing walichonacho watu vijijini? Na satisfaction je? Mtu kajenga nyumba yake ya udongo, madirisha makubwa, kaezeka nyasi kwa sababu ndio inayofaa katika mazingira ya joto, mtu huyu kwa vigezo vya west ataonekana masikini kwa sababu hana credit/debit card au bank account. Lakini huyu mtu ni tajiri kuliko mzungu wa US, UK, Germany na wengineo wanaoishi kwa mkopo (credit card) nyumba iliyo kuwa mortagaged na gari alilonunua kwa credit. Huyu mtu yuko na stress ya madeni na yuko depressed, wakati mnyalukole wangu wa Iringa ana shamba lake la mahindi, maharage analomiliki, bustani ya mboga na kuku wake, basikeli yake, na nyumba japo ya nyasi anayomiliki yeye mwenyewe hahitaji credits ili aishi. Je hizo indexes zao zinasadia nini?? Na maendeleo maana yake nini?? Na vipi ni vigezo vya maendeleo??

    Subira

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 06, 2010

    HAOMBA NIMALIZIE MJADALA, MECHI YENYEWE WATAONA WATANZANIA 60,000 TU. KWENYE TV HAIONYESHWI.

    SASA WATANZANIA MNALALAMIKA NINI? BADO KWELI MNAJISIFIA NA KUMTUKANA KAMAU BADALA YAKE?

    ReplyDelete
  31. Mwanafunzi wa KisokeJune 06, 2010

    Bona mnaendelea kumpa mtu umaarufu?

    Basi Kichwa cha habari kiwe message to Mashaka hakuna cha Kamau hapa!

    Ngoja mimi niwahi niwahi shambani kupalilia mazao yangu, ili baadaye nipate muda mwingi wa kusoma Katiba yetu ya nchi na sera mbalimbali za vyama vyetu vya siasa ili nije nisaidie kuchangia hoja za maendeleo kuliko kupoteza muda.

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 06, 2010

    OPEN LETTER TO COMRADE JOHN MASHAKa:

    bwana mashaka, usituletee mambo ya uoga na kuposti comments humu ndani. tunaomba majibu yako rasmi kuhusu hizi tuhuma, fullstop. hauwezi kutudanganya kumbe mtu umesoma kenya bwana, wabongo ndo mlivyo

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 06, 2010

    My fellow Tanzanians...have we ever asked ourselves why we always lag behind with all these abundant resources compared to the rest of E.A while a country like rwanda is blossoming? Why!!? Mdau,Kimbiji.

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 07, 2010

    It is time East Africans rose above all forms of stereotypes and prejudice,real or imagined for that matter.There's more that brings East Africans together than separates.Foul language,insults and speaking ill of one another certainly drives the wedge deeper and tears into the very social fabric we all are trying to maintain.Whereas humanity relies on unity,it is the collective responsibility of ALL East Africans to cement the ties and use the differences to work for their good!Kazi kwako mdau...kiimarishe Kiingereza chako kisha urudi Kenya ukaombe kazi upya.Utafanikiwa!Kila la kheri!!

    ReplyDelete
  35. AnonymousJune 07, 2010

    WE nimesoma comment za watu wengi hapa ama kweli tanzania sasa tuko ngangari.Nafurahi sana kuona watanzania hatutaki mchozo na tumekua na uelewa wa kutosha,

    mimi nacho omba watanzania yani tukae mbali tena sana na wakenya,Hawa wakenya si watu ni badaa tupu,dharau kwa sana wanajiona wapo juu.kuliko nchi zingine za africa,

    mara kumi kua marafiki na naigeria kuliko kenya.Kweli hatuna sababu ya kua na marafiki wakenya.sasa viroho vinawauma kuona tanzania tumeamka.

    kwanza goja hivi inawezekanaje wTZ kua urafiki na watu amboa wao kwa wao si marafiki?kwa sababu mimi nimekaa kenya mda flani na nimekundua kua wakenya wao kwa wao wanachukiana,sasa kweli itawezekana kweli sisi tuwe pamoja nao na tuelewane?Si rahiri hata kidogo,

    yani ndungu zangu wa nyumabni kaeni mbani tena sana na wakenya.

    mdau
    usa

    ReplyDelete
  36. AnonymousJune 07, 2010

    Kaka michuzi anglia sana nini unakaribisha kwenye blog yako, ambayo wengine inatuunganisha na nyumbani na tunaiheshu kwa wadhifa wake. Sasa isije ikatuleetea ukenya na utanzania tukakaribisha mengine. Maana wengine hawajui kusoma na kuishia hapo ila watayakuza saaaana. Waache watu waandike utumbo wao lakini tuonaomba amani tunakuomba tafadhali chuja kabla hakijatoka kwenye blog. Asante

    ReplyDelete
  37. AnonymousJune 07, 2010

    Naona mada imefikia kama ubishi wa Kijiweni, logic yote is out of the window ilobaki ni kujinaki bila msingi. Hiyo ndio sifa yetu waTZ. Midomo mikubwa na kubwabwaja bila matendo yenye manufaa.
    Yes Kamau is mostly right.
    Watanzania tu wapumbavu....sio wajinga, maana mjinga anaelemika, sie ni wapumbavu, na ni kwa mengi tu.
    Kuleta timu ya Brazil kujaonekana na watu 60,000 kwa gharama kubwa hata kama itakuwa recovered somehow ni upumbavu wa kutisha.
    Ni kutafuta sifa ya kipuuzi.
    Nchi yetu haina maendeleo kuzidi Kenya .... huo ni ukweli, hata kama mtaubisha kwa logic ya kijiweni.
    Hatujui kujipangia Ki-maendeleo ya nchi, ila tumeshamiri Uwizi na kutafuta sifa. Hiyo timu yetu itayocheza na Brazil mechi moja tu itapata faida gani? Zaidi ya kutafuta sifa kuwa eti wameingia kiwanja kimoja na Kaka, au Robinho etc. We don't have even a single proffessional footballer kwenye ligi zinazojulikana nje. Jana tu tumechapwa na Burundi.....my God what a miserable team??? Kenya at least wanae Mariga anadunda na ex-Mourinho's Inter. Yaani hata kama ni ujambazi, they do it better. Our Kenyan friends are a lot more sophisticated in carrying that out.

    Can anybody tell me why toka jumuia ya Afrika Mashariki ya kwanza ife hadi hii leo tumeshindwa hata kuwa na shirika la ndege? Kwanini kama si upumbavu na uzembe? Angalia Kenya airways inavyodunda toka china ,hadi Ulaya. Sie hata kadege kamoja cha kwenda Kigoma hakuna.
    Je shirika la reli liko wapi?? Nalo pia limekufa kwa sababu tulikuwa twawategemea wenzetu ambao walikuwa wabunifu zaidi kuliko sisi. Mifano kama hiyo iko elfu na zaidi.
    Wakati huo huo jirani zetu wanendesha shughuli zao za kuonekana bila kubabaisha babaisha...

    Quite honestly, I am disgusted when I come across our typical blindfolded, wax-in-the ear Tanzanian with a BIG mouth to defend our under-achieving national just for the sake of it.

    Kamau wee endelea kuwapa wa-Bongo vidonge vyao. Wakinuna wakicheka ni shauri lao!!!
    Eti BONGOLAND, what bongoland? Kumejaa pombe tu na upumbavu vichwani tu.....

    ReplyDelete
  38. AnonymousJune 07, 2010

    Bro Michuzi, Aliyeanza kutumia lugha chafu ni huyo anayejiita kamau, kwa kututukana Watanzania wote. In spite of eveything, nchi hii ni yetu na hatutakubali kutukanwa na mtu yoyote na tukakaa kimya. Mangi.

    ReplyDelete
  39. AnonymousJune 07, 2010

    Wanzanians,learn to TRUST your Leaders and The Government in general!....To be mandated as a Leader is not a joke at all! You can see if someone is a Leader of a small family....Now,imagine spending time for 40 million people and his/her family at home...Please differentiate politics talked in the streets and the serious one in the Government....Your Leaders are doing whatever they can...Someone on the Chair is thinking both Local and International Challenges at the same time to find the best solution possible for 40 million people. Hivyo, support and trust your viongozi and serikali kwa ujumla....Very important
    Chakubanga

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...