Home
Unlabelled
mkutano mkuu wa yanga leo, uongozi uliomaliza muda wake waachia ngazi, uchaguzi mkuu juni 27
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ankal unatuchelewesha tupe habari za kigali
ReplyDeleteMadenga madenga
ReplyDeleteTumepigwa bao 1-0 na Rwanda na tumetolewa inasikitisha,
ReplyDeleteFans stampede at World Cup warm up
ReplyDeleteAnkal
ReplyDeleteMatokeo ya Stars vipi?
http://www.wavuti.com/4/post/2010/06/rwanda-1-tanzania-0.html
ReplyDeleteAnkal tunakushukuru sana kwa kutupa habari za timu ya wananchi. Hawawengi waliotoa maoni hapa naona ni wa upande wa mnyama. naona hawataki kabisa kusikia kwamba nasi tunataka tuwe na uchaguzi na uongozi bora kama wao! hatua ya demokrasia waliochukua madega na wenzie lazima ipongezwe. sasa tunaomba wenye uwezo wajitokeze hiyo tarehe 27 wagombee uongozi. tunasisitiza kwamba simba wasiwe na nafasi ya kutuharibia uchaguzi wetu kama wanavyofanyaga.
ReplyDeleteHivi huyo jamaa mwenye radio call siyo Amani Ramadhani kweli? longtime kichizi, mitaa ta Mwembetogwa, haaahaaa
ReplyDelete