
Mzee Michuzi,
Mlima Kilimanjaro uko kwenye knyanganyiro cha kuwa one of the wonders of the world inabidi upigiwe kura, ila watanzania naona hakuna uhamasishaji.
Mlima Kilimanjaro uko kwenye knyanganyiro cha kuwa one of the wonders of the world inabidi upigiwe kura, ila watanzania naona hakuna uhamasishaji.
Naomba wasiliana na wahusika hasa wizara ya utalii wahamasishe watanzania wa nje na ndani waupigie kura. Cha maana wasisahau kuelimisha jinsi ya kupiga hizo kura na wapi.
Cheers,
Aggrey
Cheers,
Aggrey
KWA MTAZAMO WANGU, NADHANI SEHEMU/TOVUTI(KAMA IPO) YA KUPIGIA KURA INGEWEKWA HAPA MICHUCI BLOG WATANZANIA TUENDELEE KUPIGA KURA. UKISEMA TUSUBIRI HAO "BONGO LALA" WATUELEZEE JINSI YA KUFANYA TUTASUBIRI NA HAKUNA LITAKALOFANYIKA, KAMA HAMUAMINI TUSUBIRI, MAANA KUIPATA HII HABARI TU KWA MTU MWINGINE TOFAUTI NA WAO,BONGOLALA, NI KIASHIRIA TOSHA CHA UFINYU WA UMAKINI KATIKA KUHAMASISHA AU KUFANYA KAZI ZAO.
ReplyDelete=Nawasilisha=
duh! kweli
ReplyDeleteDU!!! Hongera mdau kwa kuwasilisha hili kwenye blog ya jamii.
ReplyDeleteWAHUSIKA WAPO BIZE NA UCHAGUZI MAANA HATA BUNGE LENYEWE LINA NOTICE YA MWEZI MMOJA TU VIBARUA VIKWAME KWA MUDA MPAKA DECEMBER PENGINE.
ANKAL FUATILIA BASI ILI TUWEZE PIGA KURA KUTUMIA HIYO TOVUTI.
DU!!! Hongera mdau kwa kuwasilisha hili kwenye blog ya jamii.
ReplyDeleteWAHUSIKA WAPO BIZE NA UCHAGUZI MAANA HATA BUNGE LENYEWE LINA NOTICE YA MWEZI MMOJA TU VIBARUA VIKWAME KWA MUDA MPAKA DECEMBER PENGINE.
ANKAL FUATILIA BASI ILI TUWEZE PIGA KURA KUTUMIA HIYO TOVUTI.
HA HA HA !! HAYO KWELI 'BONGOLALA' NA INAWEZEKANA KWELI HATA HABARI HII HAWAIJUI. UKIWAULIZA WATAKUAMBIA HABARI HIYO WANAIJUA ISIPOKUWA JAMBO DOGO TU WAO WANASHUGHULIKIA MAMBO MAKUBWA ZAIDI.
ReplyDeleteKama alivyosema mwenzetu hapo juu, tujulishe ni wapi pa kupiga kura. Usituletee habari nusu nusu. Fanya utafiti wako kwa uhakika utuletee habari zilizokamilika, utujulishe kikamilifu kura zinapigwa wapi, na pia ni sehemu gani nyingine ama milima gani inayo-compete na Kilimanjaro. Tafadhali nenda kafanye homework yako sawasawa halafu utuletee habari iliyokamilika.
ReplyDeleteJe picha hiyo inayoonyesha madhari ya mlima Kilimanjaro ilipigwa kutokea sehemu za Kenya karibu na Amboseli au namanga hivi? Au ni kutokea Tanzania?
ReplyDeleteJe hakuna mtaalam wa kutengeneza fulana (T-Shirt) na kuandika ujumbe ufuatao ukiwa na picha ya Mlima Kilimanjaro:
Geography 101: Mt. Kilimanjaro is in Tanzania; not in Kenya.
T-Shirt hizo zinaweza kuuzwa kwa watalii kutoka nchi za nje, ikiwa ni pamoja na juhudi za kudhibiti wa-Kenya kuwa kila mara wkitangaza, "If you want to see Mount Kilimanjaro, come to Kenya!"
Ukweli ni kwamba ukitaka kuuona Mlima Kilimanjaro tu kwa mbali bila kuupanda, ukiwa Kenya utauona!
naungana na mwenzangu hapo juu, kuwa wenye kujua hiyo LINK ili watu tubofye tupigie kura.au wewe Aggrey sema umeyatoa wapi,ilituweze kukimbilia huko sasa hivi.achana na hao wa huko wanaosikilizia mambo ya kuiibia serikali tuu,na usione kimya,ni kuwakuwa hakuna mchongo wa kula pesa huko ndio maana wamekaa kimya...kudadeki.
ReplyDeletenaunga mkono hoja!!
Kisanga kama iki kilitolewa miaka kadhaa kwa kuamasisha Serengeti never die sijui ilifikia wapi japo nilipiga kura.Siku nilipopiga simu wizara ya utalii nilishangwaza kuwa hilo swala walilisikia na hawajui nani anaeweka hayo mambo shen***zi wizarani hawajui na kitu kilikuwa Live kazi usingizi sasa Michuzi kama lilivyo jina embu peleka huu mchuzi tuone watasemaje sio kusubiri watafuniwe.na J.K najua unasoma hapa naomba ujaribu kuangalia hii idara
ReplyDeleteWAKO KTK KUJENGA TAIFA
CHAIDOGA
WEBSITE:www.7newwonders.com
ReplyDeleteWednesday June 23, 2010
Local News
Kilimanjaro seeks support in ‘Nature wonders’ race
Most Read
More CCM members bid for Zanzibar presidency
Dar es Salaam man commits suicide
Club Maisha reopens after spectacular constructions
Police grill more over Kinondoni plots
Moshi woman jailed over manslaughter
Prison officers 'abuse jailed children'
Simba say no to five foreign players' rule
Distance learning to be to maintained
High Court dismisses appeal of Kasusura
Suspected thief set on fire
More News
Police grill more over Kinondoni plots
Maternity wards lack medics
Suspected thief set on fire
Moshi woman jailed over manslaughter
Poor miners plead for help
Distance learning to be to maintained
Dar es Salaam man commits suicide
High Court dismisses appeal of Kasusura
Trio jailed in Mpanda for armed robbery
Pregnant mothers urged to shun herbal medicine
More CCM members bid for Zanzibar presidency
Tanzania to have food surplus
Experts warn against fuel adulteration
Four drown in Lake Victoria
Climate Change: Speakers call for speedier action
Three children die in house fire
Husband gets 10-year jail term for killing wife
SIDO calls for entrepreneurs to engange in productive businesses
Tanzania to deploy technological system of auditing
'Bharti, Zain Tanzania deal yet to be concluded'
From MARC NKWAME in Arusha, 20th June 2010 @ 16:00, Total Comments: 0, Hits: 276
WITH only seven months to go before the world’s ‘New Seven Wonders’ of nature’ are announced, Mount Kilimanjaro has received just five per cent of its current votes
from Tanzania.
However, according to the New Seven Wonders’ Communications Officer, Tia B.Viering, the 95 per cent votes from other countries, mostly overseas have set the Africa’s highest peak to the highest position in the new ranking of the globe’s new seven wonders.
“It is exciting to see such international support for Kilimanjaro! It was indeed high up in the list of votes from outside the country. Actually what the ranking means is that 95 per cent of all votes for Kilimanjaro come from outside Tanzania,” wrote Ms Tia Viering in response to an email from the ‘Daily News,’ which sought to know how the local mountain was fairing in the ‘wonders’ race.
“This is obviously a chance to wake up Tanzanians and tell them that they also should support their natural icon,” added Ms Viering; “Right now, the ranking shows that Kilimanjaro is in the 12th position in the fastest-growing finalists.”
The official explained that statistics showed that only five per cent of all votes for Kilimanjaro during the past four weeks came from Tanzania. “This needs to change! We hope that this is a chance to encourage Tanzanians, East Africans, all Africans and also fans of Kilimanjaro to support the mountain.”
Millions of people worldwide are voting online for their favorite natural features, that they would like to make the forthcoming new ‘Wonders of the world’ list.
Spotting three volcanic cones; Kibo, Mawenzi and Shira, Mt Kilimanjaro, an inactive ‘strato-volcano’ is the tallest ‘free-standing’ mountain in the world, rising 4,600 metres above sea level. It includes the highest peak in Africa at 5,895 metres.
Kilimanjaro is one of the only two entries from Africa, the other being Cape Town’s ‘Table Mountain’ of South Africa (ranking 22nd).
Overall there are 28 natural features from around the world competing to make it into the new ‘Seven Wonders’ list to be announced on February 11, 2011.
Argentina’s Iguazu Falls currently leads the pack by amassing the most votes in the past four weeks. A week ago Kilimanjaro was number one for getting highest percentage of voting from outside its own country at 96 per cent.
Apart from Iguazu Falls, the other ‘Top-Five’ features in the ‘New Wonders’ listing include, Halong Bay, the Dead Sea, Amazon River and the Great Barrier Reef.
http://www.dailynews.co.tz/home/?n=10996&cat=home
ReplyDeleteAliyetoa link wa kwanza amekosea link ni
ReplyDeletehttp://www.new7wonders.com/en/
http://www.new7wonders.com/community/en/new7wonders/new7wonders_of_nature/voting
ReplyDelete