
The late Paul Raphael Semizigi
28/06/2000 - 28/06/2010
28/06/2000 - 28/06/2010
We thought of you today,
But that is nothing new.
We thought of you yesterday
and will tomorrow, too.
We think of you in silence
and make no outward show.
For what it meant to lose you
only those who love you know.
Remembering you is easy,
We do it everyday.
It's the heartache of losing you
that will never go away.
There will be a memorial mass at Magila- Muheza Tanga
But that is nothing new.
We thought of you yesterday
and will tomorrow, too.
We think of you in silence
and make no outward show.
For what it meant to lose you
only those who love you know.
Remembering you is easy,
We do it everyday.
It's the heartache of losing you
that will never go away.
There will be a memorial mass at Magila- Muheza Tanga
on 26/06/2010
You are all welcome.
You are all welcome.
Tulikupenda baba, lakini Bwana amekupenda zaidi..na sasa ni miaka 10 tangu ututoke baba yetu mpendwa..tunakukumbuka sana na daima tutaendelea kukumbuka ucheshi wako na busara zako..starehe kwa amani na nuru ya Bwana ikuangaze
ReplyDeleteRIP mzee. Kuna makosa ky tarehe za maisha ya mzee. Tar 28/06/2010 haijafika bado, labda ni 2009
ReplyDeleteRest in peace mzee Semizigi. Lakini mwandishi umekosea sana haiwezekani awe ameishi miaka 10 tu. Halafu tarehe ya kufariki kwake haijafika kwa nini aitwe 'the late' sasa? Parekebishwe kwa faida ya historia za ukoo huo.
ReplyDeletepoleni sana wafiwa nami nawatakia kumbukumbu njema, iwe leo au jana au mwakani ameshatutoka ametutoka, ni ngumu kukumbuka yote haya, cha msingi ni kupeana pole, miaka kumi ya majonzi inauma sana, poleni sana tena sana.
ReplyDeleteHellar family
msambiazi TANGA
yah wapendwa anonymous wa saa 12:53 pm na 04:09 pm ni kweli ..kwa upande wenu mmeona kuna makosa kwa mwandishi kuhusu tar za maisha ya mzee hapa duniani, hiyo ni kuwa haikutolewa maelezo tu lakini 28/6/2000 ni mwaka aliyofariki na c aliyozaliwa na ikifika 28/6/2010 itakuwa miaka kumi tangu atutoke hapa duniani mpendwa baba yetu..ila kutokana na shughuli za kazi na nafasi kwani siku au tar 28 itakuwa jtatu hivyo itawia ngumu kwa wana familia na baadhi ya ndugu na marafiki kuweza kujumuika kwahiy siku na ndiyo maana tumefanya siku kabla..samahani kwa maangiliano ya tar yalijitokeza naamini tupo pamoja JINA LA BWANA LIHIMIDIWA NA AHSANTE KWA USHIRIKIANO...
ReplyDelete