Kwa video hii ni zingine kibao BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2010

    kaka MISUPU picha imetulia sana mambo ya DOHA sio safi sana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2010

    ankal hiyo t shirt inabidi ipigwe mnada! Huyo jamaa mbona kama alikuwa anakukwepa. Alidhani unataka kumuibia mabegi nini?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2010

    WE ANKAL NAJUA ULITAKA KUTUONYESHA KIFULANA CHAKO TU............NAKICHUKIA!!!!!

    ReplyDelete
  4. Ankal,
    Naona ulikuwa Doha iNternational Airport top floor nje ya Duka la Magazeti etc!!
    Next time ukipita Doha tutafute wenyeji tupo!
    Bon Voyage!!
    Storming
    Mdau wa www.uksokainbongo.blogspot.com
    www.sokainbongo.com

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2010

    Ni proof kuwa michuzi nae ameshalewa maji ya siasa za tanzania; kusema na kuahidi vyengine halafu wanafanya vyengine.

    Michuzi aliahidi kuwa hii fulana ni basi na pia kuwa itapigwa mnada. Well ni miezi ushee imeshapita na bado anavaa fulanaz na hatujasikia tena ule mnada!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 05, 2010

    Ankal una makeke sana mwenyewe hujijui uko juu already! I love your life style anyway! watu wanauliza na kulalamika kwamba unafanya kazi wakati gani wakati muda wote upo safarini kumbe watu hawajui kwamba unalipwa kwaajili ya kusafiri na kupiga picha! inabidi uwaambie watu kwamba wewe ni mpiga picha wa serikali na unazunguka dunia nzima kupiga picha za mtukio mbalimbali.
    Vipi unakuja Minnesota this coming July kwenye Diaspora? Karibu USA tunakusubiri kwa hamu.
    Mdau wa Damu USA

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 05, 2010

    Hapo Doha Int'al Airport panachosha sana. Halafu wabongo bwana, wale wafanyabiashara wa simu simu pale Dar, wakiambiwa geti limefunguliwa (boarding time) eti wanagombania! Aibu sana! Halafu wengine wanafanyiana mpango wa kutoka nyuma ya foleni na kuhamia mbele, ujinga ujinga mtupu nyie, acheni ushamba na corruption. Ndani ya ndege namo safari nzima ni makelele tu, ovyo ovyo tu. Sitapitia tena Doha mimi.

    Halafu kuna muarabu mmoja pale airport ana verify passports na other traveling documents, anachapa kiswahili tu, hata ukumsemesha kidhungu yeye anakupelekea za kiswahili tu, halafu usipoangalia anakutoa nishai maana anakichapa kile cha kikweli kweli e.g. "aghalab", "yumkini", "ilhali" etc. Utadhani Prof. Yunus.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...