Kwa video hii ni zingine kibao BOFYA HAPA
Most read Swahili blog on earth
Kwa video hii ni zingine kibao BOFYA HAPA
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka MISUPU picha imetulia sana mambo ya DOHA sio safi sana.
ReplyDeleteankal hiyo t shirt inabidi ipigwe mnada! Huyo jamaa mbona kama alikuwa anakukwepa. Alidhani unataka kumuibia mabegi nini?
ReplyDeleteWE ANKAL NAJUA ULITAKA KUTUONYESHA KIFULANA CHAKO TU............NAKICHUKIA!!!!!
ReplyDeleteAnkal,
ReplyDeleteNaona ulikuwa Doha iNternational Airport top floor nje ya Duka la Magazeti etc!!
Next time ukipita Doha tutafute wenyeji tupo!
Bon Voyage!!
Storming
Mdau wa www.uksokainbongo.blogspot.com
www.sokainbongo.com
Ni proof kuwa michuzi nae ameshalewa maji ya siasa za tanzania; kusema na kuahidi vyengine halafu wanafanya vyengine.
ReplyDeleteMichuzi aliahidi kuwa hii fulana ni basi na pia kuwa itapigwa mnada. Well ni miezi ushee imeshapita na bado anavaa fulanaz na hatujasikia tena ule mnada!!!
Ankal una makeke sana mwenyewe hujijui uko juu already! I love your life style anyway! watu wanauliza na kulalamika kwamba unafanya kazi wakati gani wakati muda wote upo safarini kumbe watu hawajui kwamba unalipwa kwaajili ya kusafiri na kupiga picha! inabidi uwaambie watu kwamba wewe ni mpiga picha wa serikali na unazunguka dunia nzima kupiga picha za mtukio mbalimbali.
ReplyDeleteVipi unakuja Minnesota this coming July kwenye Diaspora? Karibu USA tunakusubiri kwa hamu.
Mdau wa Damu USA
Hapo Doha Int'al Airport panachosha sana. Halafu wabongo bwana, wale wafanyabiashara wa simu simu pale Dar, wakiambiwa geti limefunguliwa (boarding time) eti wanagombania! Aibu sana! Halafu wengine wanafanyiana mpango wa kutoka nyuma ya foleni na kuhamia mbele, ujinga ujinga mtupu nyie, acheni ushamba na corruption. Ndani ya ndege namo safari nzima ni makelele tu, ovyo ovyo tu. Sitapitia tena Doha mimi.
ReplyDeleteHalafu kuna muarabu mmoja pale airport ana verify passports na other traveling documents, anachapa kiswahili tu, hata ukumsemesha kidhungu yeye anakupelekea za kiswahili tu, halafu usipoangalia anakutoa nishai maana anakichapa kile cha kikweli kweli e.g. "aghalab", "yumkini", "ilhali" etc. Utadhani Prof. Yunus.