Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya akikata utepe katika kasha lililohifadhia vitendea kazi ukiwemo mkataba wa huduma ya ununuzi Serikalini kuashiria kuzinduliwa kwa baraza la Wafanyakazi wa Wakala huo mjini Morogoro.
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Wakala huo, Josephat Mwambega, ( kulia) akipokea mkataba wa huduma kwa mteja ya Wakala wa huduma ya ununuzi Serikalini kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya ( kushoto) mara baada ya kuzinduliwa kwa baraza la Wafanyakazi wa Wakala huo mjini Morogoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2010

    "WAKALA HUO" ni wakala gani huo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...