Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki kwa Wateja Binafsi na wa Biashara za Kati wa benki ya Stanbic Tanzania Douglas Kamwendo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati benki hiyo ilipotangaza kushusha baadhi ya gharama za huduma zake kuanzia jana. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Stanbic, Abdallah Singano.

Samahani kaka michuzi,nina swali kuhusu timu ya taifa ya Brazil wamefika au bado?kwasababu sijaona picha zozote za kuwasili kwao
ReplyDeleteHapo ni baada ya kupata deal la kuikopesha serikali ya TZ Sh. Bn 250, zinazohitajika kwenye bajeti ya mwaka wa fedha 2010/11!
ReplyDeleteANKALI SI UWAMBIE HAWA STANBIC WASEME WAZI NI GARAMA ZIPI ZIMESHUSHWA?
ReplyDeleteBENKI HII NI NZURI SANA ILA MABISHOO WALIOPO HAPO MAKAO MAKUU SIO WA MCHEZO UKITAKA VIMINI BABU NENDA STANBIC HEAD OFFICE SI WAKE ZA WATU WALA SINGLE,
Stive.