Home
Unlabelled
waziri buriani amuaga mwakilishi mkazi wa benki ya maendeleo afrika ofisini kwake leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aah!!!!!!! Waziri wangu kafanya nini tena? mbona zawadi haiendani kabisa na Waziri na wizara yake hata na Tanzania pia? Ninachoona kwenye hiyo kanga ni ramani ya Africa na kombe la Dunia. Halafu maneno yameandikwa kwa kireno (ni ya Msumbiji hiyo kanga) na pia sponsor wa World cup kampuni ya simu MTN ambayo haipo Tanzania.
ReplyDeleteKama ambavyo tumewahi kujadili hapo nyuma, nini basi maana ya zawadi kama haina uwakilishi halisi na umaana mzima kwamba imetolewa na Waziri wetu kwa niaba ya watanzania wote? Idara ya itifaki iko wapi? miongozo kuhusu zawadi iko wapi? yaani kila mtu offisi kwake anaweza kujiamulia lolote au kuna mwongozo? na je waziri wangu anapitiwaje na kitu nyeti kama hicho?, katibu mkuu wake yuko wapi?. Si amini kama tumefikia mambo hayaendi kwa utaratibu kiasi hicho.
Nadhani iko haja ya kujiangalia upya.
Wasalaam.
Mi kuhusu kuchemka kwa zawadi nimeshachoka kusema. Maana hapa hapa kwetu kuna Vitenge na Khanga vinavyotengenezwa hapa kwanini tusitoe zawadi itayomkumbusha Tanzania?
ReplyDeleteHadi tuweke Del Mundo sijui nini? ndo manake nini? Mbagala? lolol
Mi naangalia pia samani. hivi hayo makabati na viti lazima vitoke nje jamani? Maana hizo samani za nje zikianzaga kubwabwajuka/kubobojeka, hazitengemai na wala hazinaga 'ripea'. Kwahiyo inapotoka nati sijui au ikalegea yale mahadibodi yake ya uongo, ndio kwishney.
Hizo dollar tunazipata wapi jamani kununua samani kila baada ya mwaka ?
Mi yangu macho! Saingine napataga kwikwi kuimba wimbo wa Ta...nakupenda kwa moyo wote! Kabisa.
Tanyo