
kumpokea mgombea aje kuchukua fomu
ya shughuli ya uchukuaji wa fomu

ANGALIE LIVE SHUGHULI YA JK KUCHUKUA
FOMU INAYOENDDELEA HIVI SASA HUKO DODOMA.
BOFYA HAPO CHINI
http://www.ustream.tv/channel/jakayakikwete2010-com
http://www.ustream.tv/channel/jakayakikwete2010-com
Jamani! Huyu JK halali! He is always on the Go / on the Run! Mara yuko Ruvuma, mara Rukwa, Mara Bukoba, Mara Dodoma! Heeh.
ReplyDeleteall the best mr president.
ReplyDeletendio maanake,alale wakati analipwa.piga kazi kamanda
ReplyDeletebado tunakuhitaji sana tu,chukua form baba kura zetu unazo!!
ReplyDeletenadhani JK ananafasi kubwa ya kushinda uchaguzi kwa zaidi ya asilimia 70,wapinzani bado wako kama mapaka,kila mmoja anajali maslahi,itachukua muda sana kupata nguvu,nadhani pro lipumba kidogo ataleta ushindani,lakini si wakutisha,chadema,nccr na tlp sidhani kama wagombea wao watakuwa na jipya,maana kila mtu anakimbilia ubunge.
ReplyDeleteNa wewe mtoa maoni wa kwanza hulali! Kutwa kuchwa unablogu, mara kwa Michuzi, mara Mjengwa, mara Swahili time mara sijui wapi eeh! una hobby ya ajabu ingawa mwenzio JK yuko kazini na analipwa!
ReplyDeletembona hiyo link iko offair.
ReplyDeleteany one who has a Tanzanian station link?
Sa' Mi nilale wakati niko nimeboeka tu hapa, plus niko tense hivi?
ReplyDelete