Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei akihutubia katika hafla hiyo. Zaidi ya Shilingi Milioni 50 zilikusanywa katika harambee ya kuchangia ujenzi wa mabweni na madarasa ya chuo hicho ambapo Benki ya CRDB ilitoa zaidi ya Shilingi milioni 20.
Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB Tully Esther Mwambapa akichangia katika harambee hiyo, Kulia ni Mkurugenzi wa Benki hiyo tawi la Moshi Bw.Francis Mollel
Askofu Mkuu wa KKT Jimbo la Kaskazini Dkt. Martin Shao na Mkurugenzi Mtendaji Wa Benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei wakiongoza Maandamano ya wanafunzi, walimu na wageni waalikwa.
Maandamano ya wanafunzi, walimu na wageni waalikwa..

good.
ReplyDeleteenyi manesi watarajiwa hapo mnaonekana mna mvuto na roho safi, ila mkishapangiwa vituo vya kazi, mnageuka mahayawani kauli mbofumbofu kwa wagonjwa hasa wajawazito na wale ambao hawana uwezo wa kuwa tip ndo maadui zenu, kazi ya unesi ni wito muwe na huruma
ReplyDeleteJamani hakuna uniform ya sweta kwa ajili ya hao manesi, mbona kama hali ya hewa inashawishi uvaaji wa sweta?
ReplyDelete