Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Muleba Kusini, Wilson Masilingi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo .
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Lediana Mng'ong'o kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Al- Qaem ya Mjini Dodoma ambao walitemblea Bunge leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wnafunzi wa kidato cha nne katika shle ya Sekondari ya Al- Qaem ya Mjini Dodoma ambao walitembelea Bunge leo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2010

    Mmmmnnnnhhhh....

    Twasubiria kwa hamu.

    Shukran.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2010

    hao watoto hawafundishwi kuchomekea shati huko shuleni??! khaa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2010

    mhhhhhhh those hands!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2010

    wengine wamechomekea,huyu asiyechomokea,adhabu inamsubiri shuleni.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 30, 2010

    Wooow am so happy to c my ppl.michuuuzi juuuuu juuu dah dar musliimin hiyooo ndani ya dodoma kweli mtu ni kwao.michuzi umenifurahisha kutoa pichaaaa kamal umekuwa kidume.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...