


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
This is where the mess starts. Why would the leader of the country meet with someone not according to his level ? And here we are complaining that let experts travell to overseas meetings instead of ministers who are political appointees. While his majesty is doing the same dang thing here. Does he have something else to do ? Or just to show off ?
ReplyDeleteThis guy`s trip was supposed to end at the ministry of defence only, case closed. Otherwise, we will be looked at down under forever.
China wameendelea bila kutegemea misaada kutoka nje. Wakati wooteee wakipigania maendeleo hatukuwaiga na hadi leo hatujifunzi kutoka kwao. Badala yake tumewageukia kuwaomba misaada kwa vile sasa wana uwezo. Tafakari!
ReplyDeleteMichuzi acha roho mbaya kaka. Majuzi Ali Choki na Extra Bongo wamezindua bendi yao kwa kishindo wala hujaweka tukio hilo. Haya basi weka wimbo wao wa LAptop kwenye blog yako basi. Umeshafagilia Twanga vya kutosha hebu wape shavu watanzania wengine basi. Kwanza huo wimbo wa Laptop unafunika nyimbo za bendi zote Tanzania, za kingongo na kitanzania pia. Wape shavu bwana achana na wachina hawa. Hawana jema na nchi yetu.
ReplyDeleteMzee hawa wachi sawa wanasaidia katika nyanja zingine lakini wanatuua sisi wapiga kura wako. Dawa kwenye mahospitali yao ni feki. Kwa mfano dawa ya malaria wanayotoa bure kwa watoto wadogo na wajawazito si salama. wanataka kuua watoto wadogo na wale ambao hawajazaliwa.
ReplyDeleteHii dawa inaitwa ARTESUNATE.
Kama niitaonekana chizi sawa lakini habari ndio hiyo. Miaka ijayo tutaendelea kuzika tu, nikipuuzwa, basi tuongeze maeneo ya makaburi
hivi mkuu wa majeshi si ni jk mwenyewe? hebu nifafanulieni wadau
ReplyDeleteHuyu bwana ni Chief of General Staff kwahio si Mkuu wa Majeshi China au? Naona jamaa toli kweli.
ReplyDeleteJK (na Rais wa Tanzania kwa ujumla - mpaka hapo sheria itakapobadilishwa) ni COMMANDER IN CHIEF.
ReplyDelete