RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume akisalimiana na Kaimu Balozi wa Norway Tanzania Svein Baera alipowasili katika kituo cha kupokelea Umeme cha Wesha Pemba wakati wa Uzinduzi wa Umeme kutoka Tanga Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume akiponyeza kitufe kuashiria kuuzinduwa Umeme kutoka Tanga uliofanyika katika uwanja wa Mpira Gombani, kulia Wazari wa Maji Umeme Nishart na Ardhi Mansoor Yussuf Himid.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Ali Mbaruok wakati wa kutembelea kituo cha kupokelea umeme kutoka Tanga kilichoko Wesha Pemba.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2010

    hawa jamaa si wanasema mafuta yao....mbona wanachukua umeme tanga?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2010

    uNAJUA KM HUO UMEME TOKA tANGA SIO BURE, TUNALIPA TENA KWA GHARAMA KUBWA TU NA NDIO MAANA SERIKALI ZIKATILIANA SAINI NA KUFIKIWA MAKUBALIANO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...