Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei akihutubia katika hafla hiyo. Zaidi ya Shilingi Milioni 50 zilikusanywa katika harambee ya kuchangia ujenzi wa mabweni na madarasa ya chuo hicho ambapo Benki ya CRDB ilitoa zaidi ya Shilingi milioni 20.
Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB Tully Esther Mwambapa akichangia katika harambee hiyo, Kulia ni Mkurugenzi wa Benki hiyo tawi la Moshi Bw.Francis MollelAskofu Mkuu wa KKT Jimbo la Kaskazini Dkt. Martin Shao na Mkurugenzi Mtendaji Wa Benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei wakiongoza Maandamano ya wanafunzi, walimu na wageni waalikwa.
Maandamano ya wanafunzi, walimu na wageni waalikwa..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2010

    enyi manesi watarajiwa hapo mnaonekana mna mvuto na roho safi, ila mkishapangiwa vituo vya kazi, mnageuka mahayawani kauli mbofumbofu kwa wagonjwa hasa wajawazito na wale ambao hawana uwezo wa kuwa tip ndo maadui zenu, kazi ya unesi ni wito muwe na huruma

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2010

    Jamani hakuna uniform ya sweta kwa ajili ya hao manesi, mbona kama hali ya hewa inashawishi uvaaji wa sweta?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...