Home
Unlabelled
decoder za starTimes zauzwa kama njugu dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mambo matamu ndo umuhimu wa kuwarudisha nyumbani watz waliopiga hatua nje ya nchi na kuwapa nafasi kama mzee Tido Mhando. Safi sana!Ila tbc kuna dogo mmoja anatangaza mara mojamoja kwanini mnamficha? Huyo dogo anaitwa Noeli mwakarindire sijui kitu kama hicho yaani anatisha why?
ReplyDeleteInatumiwaje? Wanatoa antenna au inatumika kwa msaada wa dish?
ReplyDeleteTafadhali, haishiki stesheni zote za bongo. Inanasa TCC1&2 na chennel 10. Kama mimi sielewi tueleze zinashikaje hizo channel nyingine. Toa msaada tafadhali
ReplyDeleteHicho king'smuzi hakishiki stesheni zote za bongo, kinashika TBC1 na TBC2, channel ten kinashika picha lakini sauti ni ya magic fm... kenge kweli yaaanni.. halafu matangazo ya mpira kenge, picha na sauti zinapishana, utasikia mtangazaji anasema gooo, wakati mfungaji hata hajaupita mpira...
ReplyDeletechannel ten ina tatizo hilo ila cha msingi bonyeza kwenye rimoti yak sehemu iliyoandikwa TRACK hiyo sauti ya redio itatoka
ReplyDelete