Home
Unlabelled
dogo aliyetia fora gemu letu na Brazil
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyu mtoto yuko real,tff hawajui kuwa hao watoto huwa wanaandaliwa sio kupelekwa tu,by the way hizo nguo/jezi za watoto vipi? mbona kama za baba zao??walishindwa kupata xxs???tanzania kila kitu hovyo.
ReplyDelete...Aibu...ndo watoto wa kuwaweka mbele...wajufunze hapa mahali pengine....
ReplyDeleteOI!!!!!!!!! Tarehe Wed Jun 09, 10:22:00 PM he is akid bwana mtoto n my side he was cute hakuna kuandaliwa was good umeona HUG screw ur thoughts that was acute thing ever pulled..hakuna aibu he is akid kama u dont speak spanish dont comment hawaongelei aibu they talking about cute thing..hamna aibu was good for us so social
ReplyDeleteTatizo la mambo ya kuiga hayo. TFF walitakiwa kuwaanda hawa watoto how?
ReplyDelete1. Mechi zote za ligi kuu watoto wawe wanafuatana kama hivi, siyo kusubiri mechi za kimataifa tu.
2. Iwe inafanyika kwa wototo mbalimbali na kuwaangalia tabia zao ili siku ya mechi za kimataifa wanachaguliwa wale wenye nidhamu.
Kilichofanyika hapa ni waandaaji kuchukua watoto wao kuwavisha fulana ili wapate picha ya kumbukumbu na kuweka ukutani nyumbani.
sasa kama huyo mtoto anafikiri kila mtu ni dereva wa baba yake! Adabu hakuna kabisa
ReplyDeletematatizo ya kuiga kila wanachofanya wazungu ndio hayo
ReplyDeleteAIBU kuvalisha jezi za watu wazima watoto wadogo. jamani lazima tliangalie hili inaonyesha hatuko makini hata kuwajali watoto wadogo.
ReplyDeleteMi nimeipenda. Ingawa sijui hicho walichokuwa wanaongea, lakini nadhani wamefurahia hii.
ReplyDeleteMtoto mdogo, yuko poa. It was fun.
We unayezungumzia issue ya adabu.. mtoto kama huyu na adabu wapi na wapi.. watoto wako natural.. hamna ku pretend
Watanzania kama kawaida yetu, kila kitu tuko kinyume...hapa hakuna cha kusifia eti kwa sababu ni mtoto.
ReplyDeleteWakulaumiwa ni TFF sababu huyu mtoto alikosa adabu. Period
Hivi hakuna scouts siku hizi...nina uhakika scouts wanafundishwa adabu.
safi sana,its so real.
ReplyDeletewe unayeongelea adabu shwaini mkubwa
wee,adabu gani kwa malaika kama huyo,
au unataka kumpandikiza hayo mang´onyo yako ya kichwani.
Cute!!!
ReplyDeletehuyu mtoto katoka brazil si mmbongo
ReplyDeleteMie sioni tatizo kwa mnaolalama! Let a kid be a kid! Huyu mtoto amenifurahisha sana. Alikuwa anakula raha na hata wachezaji walimpenda.
ReplyDeleteNaona dogo alimchunia Kikwete!
KWELI HUYU MTOTO MDOGO KAFURAHI NA WAMEMFURAHISHA SASA NYIE TATIZO NINI, NIMECHUNGUZA SIE WATANZANIA NDOMANA MDUNDIKO TUNAONA KITU CHAK ISHAMBA SABABU HATUSAMINI VITU VYETU VYA ASILI KWA KUONA AIBU, TIZAMA WEST AFRICA AU TUSIENDE MBALI ETHIOPIA WANAANZA KUTUPITA WAKUTENGENEZA VITU VYA ASILI NA MAMBO MENGI TU HAWAONI AIBu.. KIMARO..
ReplyDeletehuyo mtoto alikua mdogo sana kwahiyo haikua sahihi kuwekwa hapo. wangewachukua watoto wa miaka 7-10 na sio mdogo hivyo.huyo nahisi ana miaka 5-6 ambapo kukaa muda mrefu bila kufanya vioja ni ngumu..siku nyingine TFF wekeni watoto wakubwa na sio kuchukua watoto wenu ili tu wapate picha za kumbukumbu.
ReplyDeleteaibu hamna kusifia ujing....wenye kosa ni hao waandaaji kuweka mtoto mdogo asiyeelewa maana. Hiii ni aibu kwa taifa letu
ReplyDeleteHakuna cha kusema so real natural what...aibu hiii...wajifunze kuandaa watoto wenye age za kuelewa si kuweka tu watoto wao ili waonekane huku wakati umri haujafikia kufanya hivyo au kuelewa maana ya hii kitu.
WABRAZIL WANAONGEA KIRENO SIO KISPANISH KAMA HUYO JAMAA WA JUU ALIVYOANDIKA NA PIA HE JUST A BABY ENJOY A DAY HAKUNA KIBAYA HAPO
ReplyDeleteWE MDAU calif sijui california acha ushamba wa kijinga kama kuishi california wote tunaishi BUT acha kudanganya watu thats not spanish its portuguese na acha kufagilia ujinga thats SHAME for a kid to act that stupidity
ReplyDeleteDogo amefurahisha wengi hata wa brazil. Nendeni Youtube na translate maoni ya wabrazil. Wabrazil wanaongea portugese.
ReplyDeletehttp://translation.babylon.com/portuguese/to-english/
Nyie mnaosema huyo mtoto hana adabu kwanza angalieni vizuri muone jinsi wachezaji wa brazil walivyokuwa wanamchokoza, 0:39, 0:50 na 1:04.
ReplyDeleteKanifurahisha sana yuko juu dogo.
ankal itabidi utufasirie kigiriki!
ReplyDeleteHakuna cha kulalamika hapo kwani mtoto huyo alikuwa excited na ameweka historia ya dunia. Kama angekuwa marekani maproducer wangeanza kumtafuta na kumpa deal.
Ni vitu vya kawaida kwa watoto kufanya hivyo ni furaha na Entertanment.
Wadau take it easy!
Sioni kosa kwa huyo mtoto, dogo amenifurahisha sana, ameonyesha tabia yake ya utoto he was charming. (I like it) Kama wachezaji wangekuwa hawafurahii wange mchunia/achana naye lakini wali respond kwake naye akawa anatoa ushirikiano which is good. Sioni kosa lolote kwa mtoto! That's why akaitwa mtoto. Siku njema! Luvanda
ReplyDelete...Mtoto kanifurahisha sana ona vishavu vyake hata wachezaji wa Brazil walipenda kuchaza nae..
ReplyDeleteHao wanaoponda naona wanaenda mbali sana, he is just a kid having fun...
Watu bwana adabu adabu...mnategemea utulivu gani kwa mtoto mdogo hivyo? I think he was the cutest thing, kama mnajiona mmedhalilika muwalaumu waliomleta hapo, coz inaonekana wenzake ni wakubwa zaidi. Mnaolalamika aidha hamna watoto bado au kama mnao basi ni wazazi wanoko...
ReplyDeleteMwakalebela's SoN! Nimempenda sana dogo, hamna wa kumlaumu as long msure wake kamleta na tff waliona sawa ya nn kujiuliza. dogo mchangamfu, ila alipoanza kumkwatua mshikaji ni soo! else kila kitu kilikaa sawa!
ReplyDeleteJamani aibu hii,sasa hawa waandaaji kwani hawakuweza kutafuta mtoto ambaye mkubwa kiasi,na zaidi watoto wa wenzetu huwa wanaandaliwa,mimi nimecheka na zaidi nimeona iabu pia,mtoto hana kosa hata kidogo.wenye makosa ni hao walio wachagua hao watoto.
ReplyDeletenaihi walitafutwa siku moja kabla ya mpra,jamani tanzania tubadilike kigodo,sasa hivi tutaacha kweli kudharauliwa.
mdau
usa
mininacho dhani nifundisho kubwa wamepata hawa waandaaji TFF ,sio kosa la mtoto kosa ni layule ambae alimchagua , mtoto anaonekana kama angefundishwa asingeshindwa kuwa na haya maoni ya watu wote.je nyiye mlianza kutembea au kutambaa?
ReplyDeleteNIMEMPENDA SANA FABIANO, ALIMVUMILIA HUYU MTOTO NA KUMPA USHIRIKIANO KAMA BABA. NAWACHUKIA WABABA WA KITANZANIA AMBAO HUWA WANAONA KUCHEZA NA KUONGEA NA WATOTO NI USUMBUFU NA KERO. HUWA WANAWAFUKUZIA WATOTO NJE AU JIKONI WAKAKAE NA DADA AU MAMA WAWAONDOLEE USUMBUFU. WATANZANIA AKINA BABA TUBADILIKE, TUJENGE URAFIKI NA WATOTO WETU TOKA WAKIWA WACHANGA. TUCHEZE NAO, TUTOKE NAO, TUWASAIDIE HOMEWORK NK. FABIANO AMEONYESHA MFANO MZURI. ATAKUWA BABA MZURI SANA KWA WATOTO WAKE, NA GRAFITE PIA AMEGONGA NAE. ANGALIZO TU KWA TFF NI KWAMBA WATATOKEA WACHEZAJI AMBAO WANA ROHO MBAYA NA HAWANA UPENDO KWA WATOTO KAMA HAWA WANAOSEMA MTOTO HANA ADABU!. WACHEZAJI KAMA HAO HAWATAVUMILIA WATOTO KAMA HAWA, HAWATA-RESPOND KWA MATAKWA YA MTOTO KAMA HUYU NA ITAONEKANA NI USUMBUFU NA KERO KWA MCHEZAJI NA ITALETA PICHA MBAYA. SOMO HAPA NI KWAMBA WATOTO WAANDALIWE NA WAZOESHWE SHUGHULI HII. WADOGO SANA WASIOELEWA WANACHOKIFANYA WASUBIRI WAKUE. KWA KUWASAIDIA WASIOELEWA KIRENO, TV YA BRAZIL IMERIPOTI TUKIO HILI KAMA KITUKO MICHEZONI NA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU KINASEMA 'MTOTO AWA KIVUTIO (STEALS THE SCENE)
ReplyDeletedogo yuko poa, he is just a kid and what he does is all about himself..hakuna kibaya alichofanya zaidi ni enjoyment michezoni sab ni mahala pa burudani na hio ilikuwa mojawapo ya ziada..i liked that kid, Mwakalebela's ofcourse as they really look alike.
ReplyDeletehata Gattuso angempenda huyu dogo
ReplyDeletemdau wa kwanza na wa pili kwendeni kule, wewe wa mwanzo ulisikia wapi kuwa watoto hutayarishwa? ukweli ni kuwa watoto nchi za nje wanajuwa cha kufanya kwa sababu wanaona wenziwao wakifanay katika kila mechi na nje hasa katika club level kuna kuwa na waiting list kubwa tu, kwa hivyo watoto wanakuwa so excited but also wanaelewa wanachotakiwa kufanya.
ReplyDeletenawe mdau wa pili aibu ni kitu gani hapo? channel za tv zote nje ya nchi zinazogumza kwa namna alivyokuwa so relaxed na kuenjoy his time, lakini wewe unaona hilo ni aibu enh kwenda kule bichwa maji wewe!!!!
Siamini mijitu mizima inakuja hapa na lawama tele na wengine kusubutu kusema kuwa ni aibu.
ReplyDeleteWatu nje wanaiangalia hii clip na kufurahi kwa namna huyu dogo alivyokuwa hakujali alipokuwepo au nani alikuwepo nae aliendelea kuwa mtoto kama kawaida yake. huku nje wansema alikuwa kivutio cha mechi wakimaanisha kuwa wamependa namna alivyokuwa amebahave. ni mtoto na amebehave kama mtoto.
Sasa nyinyi mnaosema aibu au hakufunzwa tatizo lenu ni nini?
Kwani amefanya kosa gani hasa?
The boy was having fun and the brazil players even join in and teased him. so what is the problem? kids will be kids!
ReplyDeleteMnaotaka kulaumu na kusema aibu kwa nini hamusemi ya JK kuchelewa kufika kwa muda uliopangwa? hilo ndio la aibu kubwa mno.
jamani mtoto huyo amenifurahisha sanaaa.....he just made ma day, and he is soo cutee....! He is such alovely kid who was so excited and extemely enjoying every moment with fabiano....BIG UP KIDDO
ReplyDelete@ Tarehe Thu Jun 10, 10:19:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeleteYou are very right!
Wabongo wengi hawajui what is ‘’fatherhood’’…wanaleta unoko usio na tija. Unoko unaofanya watoto wakitanzania wakose kujiamini mbele za watu..Hao wanaomkosoa this cute baby wakapate shule…http://en.wikipedia.org/wiki/Father na waka-translate hii video YOU-TUBE in English waone wabrazil wenyewe and other people around the world wanavotoa-comments zinazo-show love for this kid..
Mmeshazoea watoto mazezeta..ndo mnasema watulivu..kumbe uoga umewaja.. Tembea uone watoto wa wenzetu wanavyojiamini, wanavyothaminiwa..its fab..
Hizo mnazozita adabu ndo zinazowafanya wakenya na waganda wanawashinda kila siku kwenye interview/presentations etc..No wonder Kamau kuituita animals…
Nadhani hi mijitu yenye roho mbaya ndo wangekuwa na umarufu kama L.Fabiano sipati picha..
Kumbuka’’What a child doesn't receive he can seldom later give’’ and when you teach your son, you teach your son's son..endelezeni unoko wenu leo to the next generation..
If your kids are giving you a headache, follow the directions on the aspirin bottle, especially the part that says "keep away from children.
Love for kids around the world..mmmwah!!
Mdau Babati.
Mnaopiga kelele juu ya kuwa hii ni aibu, mlikuwepo uwanjani?
ReplyDeleteJiulizeni ni kwa nini wachezaji wa brazil walikuwa restless wakiwa wamesimama kungoja kukaguliwa na rais? angalieni tena hiyo clip na uone kaka anafanya nini
Mkipata jawabu hapo ndio mseme aibu, aibu haikuwa huyo mtoto wala waliomchagua huyo mtoto au issue yote ya hapo ila uchelewaji wa rais kufika kwenye mechi na kukagua timu.
ooooooh,nimependa izo hugs jamani so sweet baby
ReplyDeleteamemkumbatia mtoto so lovely n caring
ni mtoto wa mwakalebela????lol
Jamani kuna watanzania wana KERA!!yani hamna zuri kwao..khaaa...kazi kulalamika tu..ehhh
ReplyDeleteBro michuzi pliz tunaomba msaada wa translation kuhusu hiki ki-clip plizzzzzzzzzzzzz,we so need it
DUH! MTOTO YUKO HYPER KIKWELIKWELI....JAMANI MSIWAPE COCA COLA WATOTO WADOGO....NA KWA NINI TV ZA BONGO HAZIKUONYESHA HII???
ReplyDeleteMIMI NIMEMFURAHIA SANA HUYO DOGO NA AMESABABISHA HII SHORT FILAM TULIYOIONA KUWA SOOO GOOOOD.
ReplyDeleteNAJUA WANAOJITIA KUKEMEA HAPA WANAJARIBU KUEPA JUKUMU LAO KAMA WAZAZI, YAANI HAWANA MUDA NA MASUALA YA KITOTO NA WATOTO WAO.
dOGO SI MNAFIKI AMEONESHA HOW REAL HI/SHE IS.
POA MICHUZI KWA KULETA HII ISHU HAPA
kaka gano
ndugu zangu,
ReplyDeletehuyu mtoto anajua kuongea kibrazil, anasoma ile shule kule nanihii, na alikuwa anawaambia akina KAKA kuwa hata wao wanashangaa kupewa nguo za wajomba zao wavae, ili mchezo ukiisha wajomba zao waendelee nazo hizo jezi kubwa XXL badala ya XXS.pia dogo alikuwa akiwaambia wachezaji wa brazil kuwa wabongo hatuna kawaida hii ya kupeleka watoto kwenye gemu ziwe za ndani mpaka za kimataifa.
imekaa vizuri sana, maana TFF watakaa kimya kama vile hakuna kitu kilichotokea.
kila kitu bongo ni ujanja ujanja kama sio UFISADI FISADI tu.hakuna hata kinachoenda SAWA. kudadeki..!!
mdau China
Kaka michuzi tutakuchosha na maoni na watu tutalumbana sana kuhusu huyu mtoto. Unajua sisi waafrica siku hizi hatuna maadili kila mtu ana maadili ya kwake mwingine ya kichina ,kihispaniola ,kihindi,akiamerika mradi maisha yanaenda.
ReplyDeleteHuyu mtoto hana maadili kwasababu tatizo kubwa ni kwamba mtoto anatakiwa aweze kusikia anacho ambiwa , akiambiwa na mkubwa kaa chini akae nyamaza anyamaze subiri asubiri. huyo hawezi hata wazazi wake wanakazi kubwa maana hawezi kufuata maelekezo . Hawa wabrazil walikua wanamvumilia tu sio kwamba walikua wanafurahishwa nae nahisi muda fulani wakati anasubiriwa Rais ilikua vigumu na wakawa na wasiwasi atafanya kituko wakati mkuu wa nchi anawasalimia.
Ndio maana kaka michuzi leo hii ukiwauliza watanzania wangapi kama wanaunga mkono ile nidhamu tuliyokua nayo sisi wakati tunasoma enzi za mwalimu wanakuambia huo ni ushamba kwasababu watoto wetu tunavyowalea sasa hivi ndio hivyo baadae kwasababu hawezi kusikiliza maelekezo atakua na mambo ambayo wazazi watastuka ameisha kua na hawezi kubadilika mimi kama mzazi hua sijali mtoto anapokua na utundu wa namna fulani lakini asiwe kero. Huyu Luciano walimtesa sana ndio maana akawa anajaribu mbinu mbalimbali ili atulie ile yote sijui hug kumnyenyua wenye akili wanajua ni kujaribu kumtuliza . WATU WA TFF NA WAANDAAJI JARIBUNI KUTAFUTA WATOTO WENYE NIDHAMU MAANA YANGU WANAWEZA KUFUATA MAELEKEZO. LA SIVYO MTAKUJA KUKUTANA NA AIBU KUBWA ZAIDI.
Anayemuona mtoto huo hana adabu hana fikra, mtoto ni innocent hata wachezaji wa Brazil wamegundua hilo maana wana akili na wana watoto. Ndio maana hata wao waliweka utani wakawa wanamchokoza kwa kumvuta sikio au hamuoni. Be natural wale wanaotaka watoto wafundishe ili wafeki!
ReplyDelete