Bendi mashuhuri ya mziki wa dansi barani ulaya "The Ngoma Africa Band" aka FFU wa Ughaibuni, wamefanikiwa kwa mara nyingine tena kutingisha jukwaa kubwa la maonyesho ya mziki "International Africa Festival Mjini Tübingen,Ujerumani.Onesho hilo liliofanyika wikiendi ilopita liliudhuriwa na washabiki sugu ambao walijimwaga uwanjani kwa shangwe na nderemo kulisakata dansi la bendi hiyo. Ngoma Africa Band wanatamba na CD yao "Jakaya Kikwete 2010" Pia unaweza kuwasikiliza hapa www.myspace.com/thengomaafrica
kwa raha zako
na mpiga solo mahiri akiwa na mtutu wake tayari kwa gwaride


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...