Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. mpenda amaniJune 02, 2010

    hamna tofuti na somali pirates, u r rite on the money sir, au makaburu enzi za ubaguzi! sioni tofauti, na marekani inaendelea kuwalinda! dunia hii Mungu tuokoe!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2010

    Well said Mwampemba, well said indeed!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 02, 2010

    hawa waizraeli ni washenzi sana ila siku yao ipo tu..na wamarekani wanawabeba ndio maana kina Osama wanawaliza kila siku.

    ReplyDelete
  4. Mdau, BloomsburyJune 02, 2010

    Ha ha!Gado nailed it!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 02, 2010

    hao ndiyo wasomali wa middle east.Wengine tunafurahia kamani sinema ya rambo

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 02, 2010

    inawezekana hapa si sehemu yake (tofauti na post hapo juu) lakini ningependa tujadili hili.

    http://copmfdrafrica.ning.com/page/who-guides-the-direction-of

    Nimejaribu kuangalia list ya viongozi hapo na hakuna jina la Mtanzania. Inawezekana kabisa kua hili si tatizo lakini nafikiri inatupasa kujiuliza maswali. Pengine swali la kwanza na kubwa ni kwanini?

    Mdau

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 02, 2010

    This is a very simplicitic view of the situation at hand, and it is not even based on verifiable facts. Shame on you Gado.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 02, 2010

    kweli kabisa wakifanya wao ni sawa eti wanajihami , wakifanya wasomali eti wanaitwa PIRATES , so wats the diferent ? hii dunia kazi kweli

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 03, 2010

    Hao wajinga ndio walioanza kuwachokoza wa israeli,waliwachoma visu na kuwatupa baharini,then walitegemea nini???Go Israel ..God Bless America

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 03, 2010

    Naamini kuwa nchi zote zina haki ya kuwepo na kuheshimu sheria za kimataifa. Hata hivyo, naona Israel haiheshimu kanuni zozote. Mpaka sasa Waafrika tunasubiri waseme japo "we are sorry" kwa kuwauzia silaha makaburu wa Afrika Kusini hadi 1992 kinyume cha vikwazo vya UN, kuwapa makaburu hao hao silaha ya nuklia 1988 na kuifundisha shirika la ujasusi la apartheid (BOSS)lillowau wazalendo wengi akiwemo shujaa wetu Steve Biko. (RIP). J.M. Mangi.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 03, 2010

    Well done Gado, that is the truth: (1) The humanitarian flotilla was attacked ON INTERNATIONAL WATERS, i.e. outside Palestine and Israle. (2) As the Israeli government now admits; the only weapons they found on the ship were kitchen knives and sticks. That is why they are now releasing all the humanitarian activists and allowing them to go back to their respective countries.(3)Any act of terrorism is terrorism, whether it is carried out by somali pirates, al qaeda or the israeli government (state terrorism). By the way another aid shipment is on its way from Ireland to Gaza, let's see what netanyahu will do.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 03, 2010

    Nchi huwa zinajihami. Mara nyingine hata inabidi ufanye unyambiris ili kulinda nchi yako.

    Kama unaona watu wanakuletea mchezo unaoweza ukahatarisha usalama wako, au ukiona watu hawaelewi kuwa kitu fulani haupendi, basi hauna budi kuwakumbusha kumbusha. Kwanza utawakumbusha kidiplomasia, lakini kama ukiona somo bado alieleweki, ina bidi utumie njia zingine ku-project will yako.

    Africa tunashangaa Israel kujilinda kwa sababu tumezoea kutumia majeshi yetu dhidhi ya wananchi wetu badal aya dhidhi ya mataifa ya nje.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 03, 2010

    spot on annony 11:46 june 2.......i dont think the israelis could just invade the ship without a reason.....there was something threat to them inside....watu wanakuwa na jazba bila kuangalia the other side of the coin....that nation is able to survive toka kuumbwa dunia kwa kuwa extra careful.....siwatetei ila ukweli ndio huo.....tungekuwa extra careful kama wao tungekuwa mbali sana kwa maendeleo na mengine

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 03, 2010

    DUNIA INA WENYEWE SISI WENGINE WASINDIKIZAJI TU

    KILA KITU WAKIFANYA HAO JAMAA BASI WANA HAKI

    WAKIFANYA WANJONGE BASI WANA MAKOSA HII NI HATARI SANA MATAIFA MADOGO TUTABAKIA KUWA MADOGO MPAKA DUNIA ITAISHA

    HAWA MATAIFA MAKUBWA HAWATAKI KUONA KUNA TAIFA DOGO LINAKUJA JUU LAZIMA WATALIPIGA NYUNDO

    LAKINI IPO SIKU YA SIKU KWANI HAKUNA JAMBO LISILOWEZEKANA KATIKA DUNIA HII

    SASAHIVI DUBAI IMEIPIGA BAO DUNIA KWA KUWA NA MAENDELEO YA KISASA KULIKO NCHI YEYOTE DUNIANI

    METRO YA DUBAI HAIFANANI NA METRO YEYOTE DUNIANI

    MABASI YA DUBAI HAYAFANANI NA MABASI YEYOTE DUNIANI

    AIRPORT,MAJUMBA,BARABARA KILA KITU KIMEPIGA BAO TENA BILA MAKELELE KIMYA KIMYA

    IPO SIKU NASISI NCHI ZA AFRICA TUTAKUJA JUU LIKE THAT KWANI NA UHAKIKA MUNGU YUPO NASI.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 03, 2010

    mwenye jeuri aende akawachokoze ,muulize Idd amini marshal dadaaa alichokiona,hao ni kiboko ndio maana hata Iran kawa mpole tu.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 03, 2010

    Duh wabongo kwa kushadadia mambo wasiyoyaelewa wako fast kweli ....ndio kila mtu anahaki ya kutoa hoja lakini tafadhali jaribu kutafiti kwanza kabla ya kuandika utumbo huku ndani ya hii blog. kwani sioni huyu Gado amenail kitu gani.....tujiepushe na ulimbukeni....
    Mdau Cleveland,OH

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 03, 2010

    WATURUKI INGAWA WAPO EUROPE ILA NI ITIKADI KALI TU KAMA WAARABU WALIJIFANYA KUBEBA VISU WAKAPIGANE NA MAKOMANDOO WA ISRAEL

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 03, 2010

    du naona wafuasi wa alqaida wanatoa hadi matusi ya nguoni

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 03, 2010

    mbona waarabu wakibeba mabomu kujilipua hakuna anayelalamika?

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 03, 2010

    tatizo waturuki wamejaa uisilamu wakafikiri eti kwa kuwa wako ulaya watawatisha taifa la israel waache nyodo kabisa hilo ni taifa teule ndio maana hata waisilamu mnafuata agano la kale wakati linatoka huko

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 04, 2010

    hawa jamaa walikua na roho ya paka,kisu na rungu mbele ya mtutu?wanajifanya sungusungu hata sisi bongo tulishaishtukia?pole sana gaza.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 04, 2010

    Huu ni ulimwengu wa viwango viwili: Iwe ndani ya nchi au kimataifa, kuna ambao wanavunja sheria bila kujali na ambao hawadiki kuvunja sheria. Israel kwa miaka mingi sasa wanavunja sheria za kimataifa bila kujali. Cha kusikitisha zaidi ni kuwa wao walifanyiwa unyama mkubwa na wazungu, hasa na nduli hitler, na wao wanatumia unyama huo huo kufanya kitu kinachoitwa collective punishment (gaza nzima ni concentration camp.) wanajiharibia wenyewe.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 04, 2010

    Huu ni ulimwengu wa viwango viwili: Iwe ndani ya nchi au kimataifa, kuna ambao wanavunja sheria bila kujali na ambao hawadiki kuvunja sheria. Israel kwa miaka mingi sasa wanavunja sheria za kimataifa bila kujali. Cha kusikitisha zaidi ni kuwa wao walifanyiwa unyama mkubwa na wazungu, hasa na nduli hitler, na wao wanatumia unyama huo huo kufanya kitu kinachoitwa collective punishment (gaza nzima ni concentration camp.) wanajiharibia wenyewe.

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 04, 2010

    na bado mbona hili dogo tu???

    kumbukeni serikali ya muungano na zanzibar mwaka 1995!!

    kujilinda halali kabisa...kwa vyovyote tu

    mifano ya wanaojilinda duniani;
    1.pakistani
    2.israel
    3.USA
    4.belgium
    5.iran
    6.iraq
    7.somalia
    8.urusi/chechnya
    9.thailand

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 04, 2010

    kumbe walikua na silaha tayari?

    visu na malungu ya nini ndani ya meli?

    halafu si ili kufika gaza lazima ukanyage maji ya israel?wakeshushia wapi mizigo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...