Home
Unlabelled
gado leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hamna tofuti na somali pirates, u r rite on the money sir, au makaburu enzi za ubaguzi! sioni tofauti, na marekani inaendelea kuwalinda! dunia hii Mungu tuokoe!
ReplyDeleteWell said Mwampemba, well said indeed!
ReplyDeletehawa waizraeli ni washenzi sana ila siku yao ipo tu..na wamarekani wanawabeba ndio maana kina Osama wanawaliza kila siku.
ReplyDeleteHa ha!Gado nailed it!!!!
ReplyDeletehao ndiyo wasomali wa middle east.Wengine tunafurahia kamani sinema ya rambo
ReplyDeleteinawezekana hapa si sehemu yake (tofauti na post hapo juu) lakini ningependa tujadili hili.
ReplyDeletehttp://copmfdrafrica.ning.com/page/who-guides-the-direction-of
Nimejaribu kuangalia list ya viongozi hapo na hakuna jina la Mtanzania. Inawezekana kabisa kua hili si tatizo lakini nafikiri inatupasa kujiuliza maswali. Pengine swali la kwanza na kubwa ni kwanini?
Mdau
This is a very simplicitic view of the situation at hand, and it is not even based on verifiable facts. Shame on you Gado.
ReplyDeletekweli kabisa wakifanya wao ni sawa eti wanajihami , wakifanya wasomali eti wanaitwa PIRATES , so wats the diferent ? hii dunia kazi kweli
ReplyDeleteGood one.
ReplyDeleteHao wajinga ndio walioanza kuwachokoza wa israeli,waliwachoma visu na kuwatupa baharini,then walitegemea nini???Go Israel ..God Bless America
ReplyDeleteNaamini kuwa nchi zote zina haki ya kuwepo na kuheshimu sheria za kimataifa. Hata hivyo, naona Israel haiheshimu kanuni zozote. Mpaka sasa Waafrika tunasubiri waseme japo "we are sorry" kwa kuwauzia silaha makaburu wa Afrika Kusini hadi 1992 kinyume cha vikwazo vya UN, kuwapa makaburu hao hao silaha ya nuklia 1988 na kuifundisha shirika la ujasusi la apartheid (BOSS)lillowau wazalendo wengi akiwemo shujaa wetu Steve Biko. (RIP). J.M. Mangi.
ReplyDeleteWell done Gado, that is the truth: (1) The humanitarian flotilla was attacked ON INTERNATIONAL WATERS, i.e. outside Palestine and Israle. (2) As the Israeli government now admits; the only weapons they found on the ship were kitchen knives and sticks. That is why they are now releasing all the humanitarian activists and allowing them to go back to their respective countries.(3)Any act of terrorism is terrorism, whether it is carried out by somali pirates, al qaeda or the israeli government (state terrorism). By the way another aid shipment is on its way from Ireland to Gaza, let's see what netanyahu will do.
ReplyDeleteNchi huwa zinajihami. Mara nyingine hata inabidi ufanye unyambiris ili kulinda nchi yako.
ReplyDeleteKama unaona watu wanakuletea mchezo unaoweza ukahatarisha usalama wako, au ukiona watu hawaelewi kuwa kitu fulani haupendi, basi hauna budi kuwakumbusha kumbusha. Kwanza utawakumbusha kidiplomasia, lakini kama ukiona somo bado alieleweki, ina bidi utumie njia zingine ku-project will yako.
Africa tunashangaa Israel kujilinda kwa sababu tumezoea kutumia majeshi yetu dhidhi ya wananchi wetu badal aya dhidhi ya mataifa ya nje.
spot on annony 11:46 june 2.......i dont think the israelis could just invade the ship without a reason.....there was something threat to them inside....watu wanakuwa na jazba bila kuangalia the other side of the coin....that nation is able to survive toka kuumbwa dunia kwa kuwa extra careful.....siwatetei ila ukweli ndio huo.....tungekuwa extra careful kama wao tungekuwa mbali sana kwa maendeleo na mengine
ReplyDeleteDUNIA INA WENYEWE SISI WENGINE WASINDIKIZAJI TU
ReplyDeleteKILA KITU WAKIFANYA HAO JAMAA BASI WANA HAKI
WAKIFANYA WANJONGE BASI WANA MAKOSA HII NI HATARI SANA MATAIFA MADOGO TUTABAKIA KUWA MADOGO MPAKA DUNIA ITAISHA
HAWA MATAIFA MAKUBWA HAWATAKI KUONA KUNA TAIFA DOGO LINAKUJA JUU LAZIMA WATALIPIGA NYUNDO
LAKINI IPO SIKU YA SIKU KWANI HAKUNA JAMBO LISILOWEZEKANA KATIKA DUNIA HII
SASAHIVI DUBAI IMEIPIGA BAO DUNIA KWA KUWA NA MAENDELEO YA KISASA KULIKO NCHI YEYOTE DUNIANI
METRO YA DUBAI HAIFANANI NA METRO YEYOTE DUNIANI
MABASI YA DUBAI HAYAFANANI NA MABASI YEYOTE DUNIANI
AIRPORT,MAJUMBA,BARABARA KILA KITU KIMEPIGA BAO TENA BILA MAKELELE KIMYA KIMYA
IPO SIKU NASISI NCHI ZA AFRICA TUTAKUJA JUU LIKE THAT KWANI NA UHAKIKA MUNGU YUPO NASI.
mwenye jeuri aende akawachokoze ,muulize Idd amini marshal dadaaa alichokiona,hao ni kiboko ndio maana hata Iran kawa mpole tu.
ReplyDeleteDuh wabongo kwa kushadadia mambo wasiyoyaelewa wako fast kweli ....ndio kila mtu anahaki ya kutoa hoja lakini tafadhali jaribu kutafiti kwanza kabla ya kuandika utumbo huku ndani ya hii blog. kwani sioni huyu Gado amenail kitu gani.....tujiepushe na ulimbukeni....
ReplyDeleteMdau Cleveland,OH
WATURUKI INGAWA WAPO EUROPE ILA NI ITIKADI KALI TU KAMA WAARABU WALIJIFANYA KUBEBA VISU WAKAPIGANE NA MAKOMANDOO WA ISRAEL
ReplyDeletedu naona wafuasi wa alqaida wanatoa hadi matusi ya nguoni
ReplyDeletembona waarabu wakibeba mabomu kujilipua hakuna anayelalamika?
ReplyDeletetatizo waturuki wamejaa uisilamu wakafikiri eti kwa kuwa wako ulaya watawatisha taifa la israel waache nyodo kabisa hilo ni taifa teule ndio maana hata waisilamu mnafuata agano la kale wakati linatoka huko
ReplyDeletehawa jamaa walikua na roho ya paka,kisu na rungu mbele ya mtutu?wanajifanya sungusungu hata sisi bongo tulishaishtukia?pole sana gaza.
ReplyDeleteHuu ni ulimwengu wa viwango viwili: Iwe ndani ya nchi au kimataifa, kuna ambao wanavunja sheria bila kujali na ambao hawadiki kuvunja sheria. Israel kwa miaka mingi sasa wanavunja sheria za kimataifa bila kujali. Cha kusikitisha zaidi ni kuwa wao walifanyiwa unyama mkubwa na wazungu, hasa na nduli hitler, na wao wanatumia unyama huo huo kufanya kitu kinachoitwa collective punishment (gaza nzima ni concentration camp.) wanajiharibia wenyewe.
ReplyDeleteHuu ni ulimwengu wa viwango viwili: Iwe ndani ya nchi au kimataifa, kuna ambao wanavunja sheria bila kujali na ambao hawadiki kuvunja sheria. Israel kwa miaka mingi sasa wanavunja sheria za kimataifa bila kujali. Cha kusikitisha zaidi ni kuwa wao walifanyiwa unyama mkubwa na wazungu, hasa na nduli hitler, na wao wanatumia unyama huo huo kufanya kitu kinachoitwa collective punishment (gaza nzima ni concentration camp.) wanajiharibia wenyewe.
ReplyDeletena bado mbona hili dogo tu???
ReplyDeletekumbukeni serikali ya muungano na zanzibar mwaka 1995!!
kujilinda halali kabisa...kwa vyovyote tu
mifano ya wanaojilinda duniani;
1.pakistani
2.israel
3.USA
4.belgium
5.iran
6.iraq
7.somalia
8.urusi/chechnya
9.thailand
kumbe walikua na silaha tayari?
ReplyDeletevisu na malungu ya nini ndani ya meli?
halafu si ili kufika gaza lazima ukanyage maji ya israel?wakeshushia wapi mizigo?