Home
Unlabelled
kaboyoka atangaza nia kugombea ubunge same mashariki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dadangu mpendwa Naghenywa, Je Dk David amekwambia hatashiriki? Huoni kuwa kijana wetu bado anastahili nafasi nyingine amalizie yale mazuri aliyotuanzishia? wacha hizo dada, Dk david anaweza na bado ni Mbunge kijana. Sio kuwa nakunyima haki yako ya kikatiba bali nakupa ushauri kwa manufaa ya same mashariki
ReplyDeleteLaiza said hebu tulia fanya uchunguz uelewe ndio utoe maoni!! Huyu Kaboyoka anagombea same mashiriki jimbo ambalo kwa sasa linashikiliwa na anne Kilango. Huyo Davi Mathayo hahusiki hapa!! Tunataka tumuondoe Kilango maana amekua ni mtu wa maneno mengii bungeni ila jimboni hakuna kinachofanyika!! Sisi hatutaki maneno mengi bila vitendo. Napenda Kumpongeza Mathayo David kama amefanya kazi nzuri Same. Lakini sa hivi Same mashariki tunamtaka KAboyoka. Nadhani wanaoelewa watakua pamoja nami. Mdau
ReplyDelete