MARIAM MNANGWA MMOJA KATI YA WANAFUNZI 130 WALIOKUWA KATIKA KAMBI MAALUM KWA AJILI YA MASOMO YA SAYANSI KWA WANAFUNZI WA KIKE KUTOKA MIKOA YA PWANI NA MOROGORO AKIWAONESHA WENZAKE MATOKEO YA MAJARIBIO WALIOKUWA WAKIFANYA. LENGO LA KAMBI HIYO NI KUWAJENGEA UWEZO WANAFUNZI WASICHANA KUPENDA NA KUFANYA VIZURI KATIKA MASOMO YA SAYANSI, KAMBI HIYO ILIFANYIKA KATIKA SHULE YA SEKONDARI KILAKALA MKOANI MOROGORO
MWALIMU HANNAH MAJOR-MNFRIED KUTOKA CHUO KIKUU CHA NEW YORK NCHINI MAREKANI AKIFATILIA MAJARIBIO YA BAADHI YA WANAFUNZI WA KIKE WALIOKUWA KATIKA KAMBI YA MAALUM YA SAYANYASI KWA AJILI YA WANAFUNZI WASICHANA 135 KUTOKA SHULE MBALIMBALI ZA MIKOA YA PWANI NA MOROGORO, LENGO LA KAMBI HIYO NI KUWAJENGEA UWEZO WANAFUNZI WASICHANA KUPENDA NA KUFANYA VIZURI KATIKA MASOMO YA SAYANSI, KAMBI HIYO ILIFANYIKA KATIKA SHULE YA SEKONDARI KILAKAL MKOANI MOROGORO
MWALIMU FARIDA MAPUNDA AKIWAELEKEZA BAADHI YA WANAFUNZI WA KIKE WALIOKUWA KATIKA KAMBI YA MAALUM YA SAYANYASI KWA AJILI YA WANAFUNZI WASICHANA 135 KUTOKA SHULE MBALIMBALI ZA MIKOA YA PWANI NA MOROGORO, LENGO LA KAMBI HIYO NI KUWAJENGEA UWEZO WANAFUNZI WASICHANA KUPENDA NA KUFANYA VIZURI KATIKA MASOMO YA SAYANSI, KAMBI HIYO ILIFANYIKA KATIKA SHULE YA SEKONDARI KILAKAL MKOANI MOROGORO




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Thanks to the organisers of this event. Impressed with how keen the students are to the proceedings. Even with lack of labs and lab equipments, I believe ideas can still be conveyed in a more constructive and intuitive ways.
    All the best to the students.

    KK
    http://kotinkarwak.wordpress.com/

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 27, 2010

    mwandishi tulia basii ueleweke...wanafuzi 130 mara 135...nyie watu nyie vitu vidogo dogo hivi ndio vinatukosesha marks tukienda kwenye mashindano ya kimataifa.Wenzetu wnafuatilia kila detail..Hapo watu watasema no big deal lakini nawaambia ulimwengu wa sasa hivi tunatakiwa tucatch up na tuwe serious kwa kila tunalofanya japo ni dogo....


    Now back to the topic honera kwa hao walioandaa hii ni changamoto sana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2010

    Hao ndio mamiss wa ukweli, wanasayansi watarajiwa, sio umiss wa kuuza sura kichwani sifuri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...