Salam Ankal,
Kwa mara nyingine tunapenda kuwaletea wadau wote wa libeneke yaliojiri hapa ukerewe katika kitongoji jana usiku cha Mji Tottenham kususiana na ushindi wa Ghana.

Washibiki wote wa mpira walikusanyika pamoja na kusherekea ushindi wa Ghana kwa staili ya kipekee.

Haya ndio mambo ya Waghana na wadau wa mataifa mengine wakisheherekea na kurusha nyuki kushangilia ushindi wa timu yas taifa ya Ghana THE BLACKSTARS dhidi ya timu ya Marekani kwa Obama.

Bofya link chini kuangalia video.
Habari ndio hiyo
Mungu Ibariki Africa,
Urban Pulse Production

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2010

    imetulia, Africa tuko juu!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 27, 2010

    wewe Frank wacha sifa za kuuza sura.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2010

    Huyo anayesama FRANK aache kuuza sura kama sio mnafiki aseme jina lake. Hayo mambo ya ananymuos OLD FASHIONED. Halafu that clip was not about FRANK. We can clearly see that he has been OVERSHADOWED by the GHANA fans. Unless ME n U r watchin'a DIFFERENT clip. FORTUNATELT 4 U that we are livin' in a FREE WORLD, u have the right 2 BITCH about it. Godz Favourite.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 27, 2010

    na wewe mdau wa 06:07 mbona hujaweka jina lako hapa maana unapolalamika mambo anonymous ni OLD FASHIONED.acha mambo yako haya wewe kila mtu ana uhuru wa kuweka jina lake ama asiweke.
    Mdau-Mji wa kusoma!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 27, 2010

    Jamani acheni chuki binafsi. Huyo Frank na Baraka wamefanya kazi nuri na kubwa sana ya kutupa burudani na yaliyojili huku UK, bila wao wengine hapa tusingejua wala kuona nini kimetokea huko. Saaaafi sanaaaaaa, hongereni.

    Mdau,
    New York, USA

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 28, 2010

    roho mbaya ni jadi yetu.

    kama hutaki clipu acha si kuleta komenti hasi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...